Recent content by manjit

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM kwa ujanja nimewakubali

    We jamaa umeniharibia siku yangu. Hujaona ubaya wa ccm??!! Nenda pale mwimbili alafu ukitoka apo tafuta ripoti ya CAG kuhusu escrow.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Black Beauty?

    Mtoto wakike makeup bana, natural beauty iachie misitu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Panda gari lolote isipokua lenye rangi ya kijani, utafika tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete safarini UK na China

    Anatofauti gani na mbayuwayu ambae 24.7 yuko angani??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Ngoja nipite tu maana naweza kula ban
  6. M

    JamiiForums Tanzania Meseji hii kuhusu katiba inayopendekezwa imesambaa, kampeni zaanza

    Iyo nia ovu ni ipi mkuu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vicheko vingi kwa wajumbe wa CCM kwa katiba ile ile !

    Waacheni tu wacheke sasa. Mtaani tunawasubiri kwa ham kubwa mno.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Warioba wewe Kama Fundi uliteuliwa kujenga nyumba Sasa umekabidhi Nyumba humo ndani kwa Watu unafuat

    JF inaboa sasa. Hata uyu mcheza vigodoro anaruhusiwa umu?? Haya ndio madhara ya mtu kupost uzi humu akiwa uani na dada zake wakichambua tembele
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kura za wazi zaiumbua CCM, ujanja wa kuzichakachua umegoma! Walililia wembe wakapewa!

    Mkuu Amavubi naomba msaada wako tafadhali. Maamuzi hufikiwa kwa njia mbili, ama maridhiano au kupiga kura. Sasa maamuzi ya kura yanapopelekwa kwenye maridhiano inakuaje hii?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Bunge la katiba Salma Saidi akitoa malalamiko yao ziti ya vitisho vinavyo wakabili

    Mkuu usifikiri kila mtu ni mjinga kama wewe humu jukwaani. Nani hakumsikia huyu dada akijieleza pale nje ya viwanja vya bunge?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba kinacho kuwasha ni nini ?

    Ni yule mzee wa totoz
  12. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Sita + chenge = Shetani J S Warioba ndo habari ya mujini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya A. Mashariki Yatengua Ubunge wa wabunge wa EAC kutoka Tanzania

    Kwakweli Sisiem mnatia aibu. Huu ni mwanzo tu wakuumbuka.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bunge Maalum: Rasimu imezingatia Tume ya Jaji Warioba

    Mwanadiwani tulia tuone hatua inayofwata.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Daftari la kupiga Kura & Nape agomea mfumo wa digitali

    Ivi alieleta wazo la kupiga kura kwamfumo wa kidigitali ni nani?
Back
Top Bottom