CCM kwa ujanja nimewakubali

CCM kwa ujanja nimewakubali

Sijaona ubaya wa ccm pengine ni chuki tu ambazo hazina mashiko ccm wanamapungufu yao lakini wamejitahidi kuwa na utawala bora na kuleta maendeleo ya dhati kwa watu wote.

We jamaa umeniharibia siku yangu. Hujaona ubaya wa ccm??!! Nenda pale mwimbili alafu ukitoka apo tafuta ripoti ya CAG kuhusu escrow.
 
ccm wasipotumia vyombo vya dola ni weupe kama karatasi(dr slaa) hakuna lisilowezekana hata wakitumia mbinu zote za duniani sanasana watatuletea machafuko ivyo tu
 
ccm wasipotumia vyombo vya dola ni weupe kama karatasi(dr slaa) hakuna lisilowezekana hata wakitumia mbinu zote za duniani sanasana watatuletea machafuko ivyo tu
Hatuombei machafuko hata kidogo kwani tunaona nchi zilizokuwa na nguvu kiuchumi kama Libiya zimeangamia kabisa na raia wake hawana mwelekeo. Tunachohitaji hawa wanasiasa warekebishe mambo yao na kasoro zinazojitokeza ili kufikia wakati wa uchaguzi uwe haki na kweli na anaeshindwa akubali kushindwa kwa dhati kabisa, kwani nchi hii ni yetu sote na anaepewa ridhaa na wananchi ana haki ya kutongoza.
 
Back
Top Bottom