Watanzania, kabla ya 2005 daftari ndio lilichukua idadi ya wapiga kura, Ni miaka takribani kumi na moja daftari halijaboreshwa.Mtu alyekuwa na miaka 10 au 17 hajapata haki ya kupiga kura 2010 na sasa kuna uchaguzi wa serikali za mitaa pia hatopata nafasi ya ya kupiga kura.
Ni vipi hili daftari litaboreshwa, na tena lisiwachanganye watu kuona majina yao pindi wakati ukifika wa kupiga kura.
Pia Ndugu nape ame anza kupinga Mfumo wa ki digitali wa kupiga unao taka kuandaliwa kwa ajili ya kutumika kwenye upigaji wa kura mwakani 2015, kwa madai ni gharama sana , hauna ufanisi na utatuletea vurugu kuliko makaratasi wanayoyachakachua kila leo.
nape ameonekana kutopendezwa na mfumo huo mpaka kusema eti, unatumia fedha vibaya za walipa kodi kama vile hajawahi kuona ufujaji wa hali ya juu kama epa, IPTL, dowans,na Bunge la katiba ambapo kwa maoni yangu ameshiriki kuufanya uvurugike kwa kiasi kikubwa.
Vipi kuhusu haya ya daftari la wapiga kura na hoja ya Mh. nape ina mantiki!!!?