Recent content by manjembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kutovunjwa bunge Leo Hadi hapo August, ni ishara ya kufanyika reforms kupata katiba mpya?

    Vijana wa siku hizi hamsomi mko kiushabiki,someni katiba vizuri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutovunjwa bunge Leo Hadi hapo August, ni ishara ya kufanyika reforms kupata katiba mpya?

    Mzee kasome katiba vizuri
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yaanza kumtenga Haji Manara, azungumza bila nembo za klabu na wadhamini wake

    Wewe jamaa hata akili hauna ..issue yake binafsi team inaingiaje ..hivi vitoto vya 2000 vinajiandikia ili mradi kaandika jamii forum
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ni kocha bomu

    TEAM YAKO IMETOLEWA NA UD SONGO ...UD SONGO team mbovu umetolewa ...yanga ipo ipo sana ...huo ushauri ungempa kocha wenu wa simba ...kutwa kumuwaza zahera na yanga .............UD SONGO amewatia kiwewe
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya Zahera imeanza kunipa wasiwasi

    wewe haujui mpira na mnaendeleza kampeni zenu za kumchukia zahera ...mashabiki wa simba mnakwama wapi..UD SONGOOOOOOOOOOOOOOOO
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya Zahera imeanza kunipa wasiwasi

  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hakuna timu

    simba imefika wapi yenye mwendo usikuwa wa kususua
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hakuna timu

    simba au azam yenye kocha bora imefika wapi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, afungua Gereza jipya Ruangwa

    wewe jamaa yawezekana hauko sawa ,sababu zipi unazowachukulia watu huko ni low IQ,sijui unatoka mkoa gani nikupe data za wasomi na mkoa wako unakotoka, labda shida moja hawajiproudy kama wamikoa mengine,mlianza wanakula samaki mchanga,mara wanakula watu ,sasa hivi mmekalia low IQ,wapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilio kwa Wakulima wa Korosho: Bei elekezi ya msimu huu yatajwa

    1550 ni bei elekezi haitakiwi ishuke hapo,bei ya ushindani ya mnadani inaweza fika 4000 au 3000 na bei ya mnadani inategemea bei ya soko la dunia ,kama soko la dunia liko chini bei ya ushindani mnadani itashuka sana ,kama soko la dunia liko juu bei inapanda ,sema ipo shida sehemu Kutofanya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa masikini zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2017/2018

    Ni sahihi kabisa , nimetembea mikoa yote bara ,mtwara iko juu ukulinganisha na mikoa mingi kuanzia mtwara manispaa hadi wilaya zake,nilishangaa kongwa ni Moja ya wilaya ,hata kata ya ndanda imechangamka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya gorofa

    Uko mkoa Gani mkuu ,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    Mtoa mada kakimbia,analeta propaganda za kijenga,eti mkoa mzima kuna floor tatu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    Kahesabu naf blue view hotel floor ngapi,jengo la pspf southern zone floor ngapi ,Bot mtwara branch floor ngapi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    Eti mkoa mzima ghorofa ndefu Ni ghorofa Tatu ,inaonyesha haujafika mtwara au umesimulia ,
Back
Top Bottom