Recent content by manjaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Ha ha haaaa! Wavulana wa dar bwana, kwa hiyo kwa vile hawajui makange ndo washamba? Af muache kuvaa vitishet vilaini kama shumizi ma vikaptula vya pink
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    We ndezi iringa lami tumeanza kuiona tangu miaka ya 70, au ulienda kilolo nini? Baridi unayoikandia hapa mkiwa dar mnaipata kwa hela. Acha kuropoka uongo we kivulana ulieajiriwa dar baada ya kumaliza chuo na kukaa kichumba kimoja ubungo maziwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iringa mjini chini ya Msigwa na Meya wake, yaongoza kwa Usafi Kitaifa

    Kwa hiyo iringa imeshinda tuzo ya usafi kwa huo usiku mmoja tu we zwazwa? Huyo kasesera wanairinga wengi huwa tunamuona kwny magazet na mitandaoni lakin msigwa ndo president
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji pekee nchini lenye uwezo wa kuleta balance of power dhidi ya Dar

    Achen kufananisha dar na vitu vya kijinga, mwanza labda tuifananishe na kata ya ubungo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Barid ya tukuyu imekupiga had ubongoni, endelea kupalilia migomba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Gado wa Idhaa ya DW achora tena Katuni ya Magufuli

    Una kazi we poyoyo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

    Hongo ni rushwa, rushwa ni kosa la jinai
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tutakaa sawa tu, Mwenyekiti katuita kuchukua kuponi za kununua sukari!

    Wazungusha viuno mnafurahia kununua sukar kwa coupon huku dunia imehamia ktk teknolojia ya credit card
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kishoa Mbunge wa CHADEMA, ajitosa katika harakati za kumnasua Isaac Emily

    Nan atoe michango kwa hao wachumia tumbo wa clouds? Itv kila siku wanaonesha watu wenye matatizo mbona huyo rais wako mtukufu hajawah kuchangia? Rais wako mtukufu anapenda airtime
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

    Ulikua jela nn?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mamlaka hizi zimeacha familia ya Rais idhalilike

    Kwa hiyo zile familia za watoto elf 7 walotukanwa kwa kuitwa vilaza na mtukufu rais wenu ni sawa tu lakin kwa jesca ndo mmeumia nyie panzi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

    Huyu waziri mkuu tangu bandarini patulie hana jipya tena, baba jesca anatawala jukwaa peke yake
  13. M

    JamiiForums Tanzania NEC yamkabidhi bakaa Rais Magufuli bilioni 12 zilizookolewa Uchaguzi Mkuu 2015

    We zwazwa hiyo katiba inayosema rais ni chief accounting officer mliandika kwenu bombambili au?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano yote ya Kisiasa nchini, yapigwa Marufuku! kuanzia 07/06/2016 hadi usalama utakapotengemaa

    Baba jesca muoga tu, kila siku analilia aombewe eti
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Mtoa mada umeandika uzi mzuri, lakin inakuaje unasahau shule pekee duniani ambayo ukiwa ufukweni mwa bahari ya hindi unakua bado upo eneo la shule? Shule walosoma wabishi kama Joshua Nassari, Bagamoyo secondary kwa hakika inatakiwa ikae juu ya list yako
Back
Top Bottom