imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,462
GADO tunamheshimu sana,lakini si unajua wakenya ndio watoa bahasha.na lile bomba wamelikosa.hasira zao wanamtumia mtz mwenzetu.Basi kama ni Mtanzania basi ujue hazimtoshi
GADO tunamheshimu sana,lakini si unajua wakenya ndio watoa bahasha.na lile bomba wamelikosa.hasira zao wanamtumia mtz mwenzetu.Basi kama ni Mtanzania basi ujue hazimtoshi
Je anayoyachora katika cartoons zake hayasadifu?GADO tunamheshimu sana,lakini si unajua wakenya ndio watoa bahasha.na lile bomba wamelikosa.hasira zao wanamtumia mtz mwenzetu.
wewe ndo hazikutoshiBasi kama ni Mtanzania basi ujue hazimtoshi
Sheria ya nchi moja itafanyaje kazi hadi nchi nyingine nje? Hukusoma uraia/civics nini?Hivi hii sheria ya makosa ya mtandaoni inafanya kazi hadi nje ya mipaka ya TZ kweli..?
wewe ndo hazikutoshi
wewe ndo hazikutoshi
Ndg Barafu nawe umeisambaza?!! Kama hawajafika wasubiri, watafika muda wowote kukuchukua!!View attachment 358614
Hii ni katuni ya Msanii Gado...Ambayo bila shaka aliyemchora anajulikana
Magufuli atakaza tu hakuna cha demokrasia wala nini...Anaetaka demokrasia aende akaishi Marekani. Hapa kazi tu siasa tupa kuleeee kwa Ukawa
Unataka Gado aishi Ughaibuni kama Mzee Babu enzi zile ...............!!?Aisee, kama ningekuwa mheshimiwa raisi ni bora kuitwa dikteta kuliko kuitwa dhaifu
Wote sisi ni Wa-TZ hebu niambie kama mchoraji wetu angemchora Uhuru akiwa ktk hali hiyo. Kenya iliwahi hata kusema yasiyofaa kwa sababu tu rais Kikwete katoa maoni yake juu ya usalama wa Kenya wakati ule baada ya vurugu zao. Leo hii tunafurahia mtu aliyeko Kenya kutuchorea taswira ya Rais wetu kweli?Mkuu unachagua mtu wa kukuambia ukweli/uongo?