Recent content by manizzle

  1. manizzle

    Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Hiki Chuo cha Sanaa Kaole ni kipya na ni tofauti na kile Chuo cha Sanaa Bagamoto kwa sasa TASUBA?
  2. manizzle

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Akija kuwa sister duu ukimuonyesha hii picha utazua varangati si la kitoto
  3. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  4. manizzle

    Ubungo: Zoezi la upangishaji wa maeneo ya biashara Mbezi Louis una mashaka

    Tumia browser nyingine inawezekana hiyo unayotumia sasa hai-support.
  5. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hapo umetega angle gani? Maana kutekwa unategemea na location pia
  6. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hahahaaaa. Unavizia waliokesha clubs au target ipoje?
  7. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Duh! Unawawinda kama upo mbugani. Hahahaaa
  8. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji3][emoji3][emoji3] Huko Dom wanatekeka? maana kuna kuwa na kipupwe cha hatari. Ila akikubali kutekwa mateka lazima awe mpole
  9. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo mkuu tunapambana na usingizi
  10. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Duh! Mambo ya kuku wa kienyeji choma. Nimekumbuka sana pande hizo
  11. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mkuu upo unafanya ukaguzi
  12. manizzle

    JamiiForums Usiku wa manane

    Duh! Kitambo sana wadau. I'm happy bado mnaliendeleza game. Big up
  13. manizzle

    Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wewe mtoto wa kishua unakujua hata Temeke kwenyewe au unatuchora tu. [emoji12][emoji12]
  14. manizzle

    Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Nasubiri kuona nani mshindi kati ya born town na bush star
  15. manizzle

    Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Duh! Haya maisha ni noma. Kwa nini asikuuzie wewe hata kama kulipa kidogo kidogo kuliko kuuza kwa mtu wa mbali eneo la nyumbani?
Back
Top Bottom