Recent content by manimbi

  1. manimbi

    iPhone and iPad niulize chochote

    boss hamn matawi mwanza?
  2. manimbi

    iPhone and iPad niulize chochote

    natafuta fundi cm nina Sony Z touch imeharibika, wapi nitapata fundi mzuri nipo Mwanza
  3. manimbi

    CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

    swali la kujiuliza hapa je kama hizi kasoro wanazosema zilikuwa ingekuwa ccm ndo wameshinda uchaguzi ungefutwa? nafikiri hamna haja ya kudanganya watu kapange mstari wapigwe jua wakati umeshaandaa mshindi wao so ni bora wakawa wawanzi kuwa nchi ni ya mfumo wa chama kimoja kuliko kudanganya watu.
  4. manimbi

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    katika vitu ambayo serikali hii imefanya vya ajabu ni pamoja na hili, kodi zetu ila hata hatushirilishi kwenye maamunzi,nafikiri inabidi wafikiri upya!
  5. manimbi

    Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Kila wanachofanya wanaumbuka haya magamba!
  6. manimbi

    Ametwaliwa.. RIP CELINA KOMBANI

    Mungu akulaze mahali pema peponi......amina
  7. manimbi

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    yaani utafiti huu mwenye akili mgando ndo atakubaliana nao yaani uchaguzi huu mtu ashinde wenzake kwa asilimia 40% yaani mwenu tu ndo ataamini kama doctor slaa alipata 21% tena kipindi ambacho vijana hakujiandisha wengi na hakukuwa na muamko sana leo useme ccm itashinda kwa 65% mbele ya mnyama...
  8. manimbi

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    kama mnataka mdahalo kwanza tuanze na mdahalo jk na wenye viti wengine kwa ahadi zake kwanza ndo tuingie hawa wa sasa hv, tunataka aje atuambie kwa kiasi gani ametekeza ahadi zake maana naona zile ahadi zote zimeachwa zimekuja mpya kama hataki na cc mgombea yuko busy kusaka kura na wananchi...
  9. manimbi

    Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Leo rais wetu anaenda kuwatoa watu kwenye mashimo yao walijichimbia miaka mingi yaani magamba leo huko ni pressure tu, jamani hospitali za dom leo zitajaa coz ya pressure za magamba! Viva ukawa viva lowassa
  10. manimbi

    Mahojiano ya Dr. Slaa na Tido Mhando wa Azam TV

    Mbona mshenga hajamjibu au ndo kamkaba koo?
  11. manimbi

    CCM walalamikia ratiba ya Kampeni ya NEC

    Maji shingoni hawa watu kwani kama wamefanya mengi kama wanavyosema wawe wapole watapata kura ila kama ni maigizo tuliyoyazoea basi wakapumzike kwa amani!
  12. manimbi

    Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    mbona analeta uchochez sana huyu ila ukawa mpango wa Mungu hakika tutashinda tu vikwazo vyote
  13. manimbi

    Share a vision with Lowassa

    Together we can go go go Lowassa viva ukawa
Back
Top Bottom