meidimu sirkon
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 202
- 37
Mwaka huu ccm wako taabani wanatafuta visingizio kibao ili ikubalike lakin wamechelewa Kura zote UKAWAAA
Kwa hiyo alipopita wasanii hawakumsaidia?
Wana kazi kwani kuandaa mkutano mmoja wa ccm ni mil 118
Inavyoonekana tayari CCM wameingiwa na woga baada ya kuona Nguvu na Mvuto wa UKAWA ukizidi kuongezeka kila siku. Hii sio dalili njema sana kwa CCM, ni kiashiria cha kukata tamaa.
Ila Ukawa wamewakwaza sana wana morogoro wamewatangazia watu mwezi mzima kuwa kutakuwa na mkutano uwanja wa shujaa Leo. watu wametoka sehemu za mbali ya mjini wamefika uwanjani kuna tetesi tu kuwa mkutano umeahirishwa na haijulikani utakuwa lini inakatisha tamaa kupotezeana muda Namba hivi.