Recent content by Manigga Qwame

  1. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Nimedhurumiwa Tsh. Milioni 2.4 na Mtu niliyekuwa nafanyanae biashara

    Kaka mimi mdogo wangu walimtapeli 20.45m aliagiza mavitu za harware dsm alipo nielezea kwakuwa alikuwa janja nikaenda mwenyewe kufungua kesi polisi Ninachokumbuka yule mpelelezi wangu aliniambia jamaa anapatikana nik0mwambia yeah pia ana grup la biashara yake anapost bidhaa daily kwaiyo akawa...
  2. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali ana stress kwenye hatua hizi 3, uko hatua ipi?

    Stop wishing, start doing naimani utavipitia mkuu alivyoviainisha mimi niko no01
  3. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    K Km 25 kutokea usa river means unaongelea karangai au wapi nakama nikarangai uko ndo mashamba hayashikiki kwa sababu watu wanalima throughout the year kwaajil kuna mto mitaa ile au wewe unaongelea kijiji gani mili enyewe nina laki yatu yangu apa nikadake uwanja
  4. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Kaka sehemu gani uko au masaini unataka jamaa akagombane na wafugaji amna shamba ya laki chugga km 50 from town
  5. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Real braza sio uongo njoo chugga au morogoro utaona mwenyewe
  6. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Sisi kwetu ni arusha uku ndani ndani kabisa umeme umefika juzi lakini amna ata ekar ya milion tano kwanzia 10m kuendelea na wadozi wanazichukua wanachimba visima wanalima migomba, maembe, wanafuga nguruwe, kuku, ngombe wa maziwa n.k Ukitaka ekar za milion nenda morogoro wilaya ya kilosa...
  7. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Jf legeza ubongo

    Kikubwa heshimu heshima asiekuheshimu usimuheshimu.
  8. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dry Cleaner and Laundry

    Ukiona hivyo ujue kipato uwakika kipengele location yako tu
  9. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa sasa hivi mnazingua sana!

    Lazima tuwekeze mzee so mwanaume lazima uweke mkeka mradi twende iyo ni mbaya ndugu langu
  10. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mke au mpenzi wako aende mbio za Marathon peke yake?

    Anatoka daslam anakuja kukimbia dodoma apo Kuna kitu mazee
  11. Manigga Qwame

    JamiiForums Tanzania Natafuta Minada ya Mbuzi na Kondoo kwenye mikoa hii

    Kikatiti, mbuguni, olokii, kwa morombo zote uwakika kuuza na kununua siku apo ni ijumaa na juma mosi
Back
Top Bottom