Recent content by maniga2018

  1. M

    Mwenye kaujuzi atuelekeze namna ya kupata matokeo supersport yaliyofanyiwa uchambuzi

    Hilo swali hata mm najiuliza ,ngoja wajuzi waje kutujuza
  2. M

    DJ Steve B bado yupo CMG hasa Clouds Fm?

    Steve B,...Wewee ndio unafanya mpaka muji unatingishika (Mr EBO Voice)
  3. M

    Gari ipi ni nzuri kwa usafiri kati ya Rungwe Express na Golden Deer?

    Kutoka New Force mpaka Golden Deer...kuna nini hapa ndani yake? Au ndio Yale ya wawekezaji kubadili majina ya Biashara zao kila Baada ya miaka 5? tafadhali naitaji kujuzwa zaidi.
  4. M

    Siyo mpaka umvue Pichu.

    Kweli kabisa mkuu, ndio maana wakija kwenye anga zangu nawafumua tu, tena nikiona kijungu kama hicho naanda kilainishi changu mapema tu ili katikati ya Game nizibue Chemba za maji taka.....Kudadadeki.
  5. M

    Siyo mpaka umvue Pichu.

    Mapenzi hayana formula ,Sio ukariri daily kwenye Bed tu. Sipendagi daily mwanamke nimuanze kumchokoza hata kama ana genye ila mpaka nimuanze....Inakera sana hii tabia.
  6. M

    Siyo mpaka umvue Pichu.

    Tanzania ya Viwonder, tafadhali naitaji kushuka kiwanda changu kimekasirika humu ndani ya Boxer.
  7. M

    Navutiwa na mwanamke wa namna hii

    Napenda mwanamke type ya Mange kimambi, kuanzia umbo ,Akili,...vyengine simalizii niseje kuchezea Ban bure.
  8. M

    From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!

    Kwenye hiyo Ratiba sijaona muda wa Brake fast walla Launch. tutakuja kusinzia tu
  9. M

    Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

    Poleni sana kwa mtihani mkubwa uwo uliotokea kwenye familia yako, Hekima na busara zinaitajika kumsaidia huyo Dada wa Kazi.
  10. M

    Ma handsome boy endeleeni kuwatia na kuwaacha hawa viumbe

    Aliekutenda nipatie namba yake nianze na nae kwanza.
  11. M

    Mr Blue ndiye msanii mwenye uwezo mkubwa kwenye stage kuliko wasanii wote wa bongo fleva Tanzania?

    Mr Blue hana mpinzani Tanzania nzima ,nikisema Tanzania nzima namaanisha Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ,Mr Blue hana mpinzani....Over
  12. M

    Msanii gani kufunika fiesta 2018?

    Kiba mofaya festivals tunaisubiria kwa hamu kubwa sana.
  13. M

    Wasanii wengi ni mateja

    Research yako umeshaikamilisha mkuu au bado inaendelea
  14. M

    Sheria ya insurance kwa TZ ikoje

    Wajuzi wa Insurance mnaitajika mkuje huku.
Back
Top Bottom