Recent content by Manianguru19

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Wasafi Bet

    Bora wewe umejibu straight sio hiyo mipimbi [emoji28]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jiwe chini ya kiti cha Mfalme wa Uingereza

    Jiwe lililokataliwa na waashi sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    We ni bwege
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Wasafi Bet

    Kuanzisha kampuni sio jambo la kitoto ni kazi inayohitaji investment kubwa na ya kutosha. Nadhani Diamond Platnumz peke yake hawezi anzisha kampuni ya kubet bila backup. So ninani yupo nyuma ya Wasafi Bet? Nani aliyewekeza kwa kupitia mgongo wa Diamond.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wazee wa kiislamu wanaishi maisha marefu zaidi

    Unapigia promo uislam kisirisiri tumeshtukaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwani nchi hii haina watu wenye akili?

    Kama walivyomfanya uncle magu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya nguo

    Za kiume mpya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya nguo

    Nataka nianze biashara ya nguo lakini mambo haya siyajui sana. Ulipaji kodi unakuaje. Legal process ni zipi? Mzigo mzuri mnauchukua kwa staili gani etc
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, kwa miaka 8 watanzania wameagiza magari 561,875

    Kodi za magari tanazania hii ndo inaleta kikwazo magari used lakini mpaka yafike kwa mtumiaji gharama zake bora uende kenya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Wazi utakuwa ni shabiki wa Harmonize na hizi ni moja ya propaganda mnazofanya ili mumshushe vannyboy hee umefeli [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwenda Dodoma saa tatu; kwenda Dar saa tano, tatizo ni nini?

    The truth is morogoro ni more close to dodoma but they lied to you for a reason. Kutaka kuonesha morogoro na dar ni majirani zaidi. Nilifanya simple research ya kufind distance kwa kutumia speedometer ya gari na nikagundua distance ya dar morogoro ni kubwa zaidi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Nawajua wataalamu lakini wanaishi vijijini ukiwa serious nicheki
Back
Top Bottom