Recent content by MANIAJE

  1. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kwa hiyo?
  2. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Nashangaa watu mnaulizia mkeka wakati watu wameshapigiwa simu na toka Jana wameanza kuripoti chuoni KIWIRA MBEYA. wengi wamechukuliwa kutoka makambi ya jkt
  3. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

    Mamaee zao kuna mmoja Yuko COED ansitwa MBAULA yule jamaa ni nyoko. Halali bila ya mwanafunzi
  4. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

    Huwezi kutaka wewe mzee. Mungu ndio anapanga. Baba yangu alitaka niwe mtaalamu wa maabara kama yeye. Mwisho wa siku nimekuwa mhasibu na nilisoma CBG
  5. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    Hivi ni akili kwelii mgogo anayefundisha shule ya msingi samanga pale jimboni vunjo akubali kurudi shule ya msingi ugogoni iliyopo pale jimboni kongwa ???? Inaingia akilini kweli?? Au madam ngiliule wa shule ya sekondari mailisita akubali kurudi kwao jimboni kibakwe akafundishe shule ya...
  6. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Honda ni nyoko Sana sitaki hata kulisikia Hilo jina mamaeee....
  7. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

    Ukipata ya 5M nishtue mkuu nataka automatic lakini. Serikali initese na gari/ manual initese pia?? Hapanaaaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

    Mkuu hujui kitu. Nyamaza!!
  9. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

    Kitu usichokijua nyamaza. Pumbavuuu
  10. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mishahara ya Jeshi la Magereza

    Dogo unabishana na Askari aisee. Wewe kiboko
  11. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Naomba kujua mishahara yenu mkuu.. pamoja na posho zenu ziklje
  12. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hayati Rais Magufuli asipolala, hamlali

    Ndio maana saa nyingine alikuwa anaropoka ropoka bila ya kujua yeye ni rais wa nchi. Masikiniii kumbe alikua halalii
  13. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

    Wasukuma kwa nini hamtaki kuamini?? Magufuli alishaumaliza mwendo... Now tunamuandalia msukuma mwenzenu makonda hati ya mashtaka ili tumkamate
  14. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Napingana na wewe kwa data. Mfano uhitaji wa walimu shule za msi ngi kwa wilaya ya mpwapwa ni wastani wa walimu 2200 ilihali walimu waliopo ni 1300 hv kwa hiyo kuna upungufu wa walimu 900 Shule za awali zinauhitaji wa wastani wa walimu 240 hv lakini Cha kuchekesha wilaya nzima haina mwalimu...
  15. MANIAJE

    JamiiForums Tanzania Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

    Azam tv wanarusha live mechi zaidi ya 4 alafu hata hawajitapoli. Wooooyiiii kiruuu
Back
Top Bottom