Recent content by Manhunt

  1. M

    JamiiForums Tanzania How to check for car tyres expiry date.

    Useful info
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baba riz kajipanga..! Sasa wewe ng'ang'ania 3 akushukie na mwamvuli sebuleni

    Lakini walioshuka na miavuli pale wengi sio watanzania
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua Benz ML 350, msaada kwa anayelifahamu

    Kama idea yako ni kununua gari nunua gari achana na hao wanaokwambia uweke kwenye mradi kwani wewe hujui hiyo pesa unataka kufanyia kitu gani? Na pia unaweza kuweka pesa kwenye mradi ikaisha yote vilevile suala hapa ni mtu anaomba ushauri gari inafaa au haifai hajauliza kama amekopa pesa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mgambo wavamia gari iliyobeba watalii wawanyang'anya camera na kuendesha gari lenye watalii Arusha

    Katika hali isiyo ya kawaida leo mchana mida ya saa saba katika barabara ya Uhuru mgambo waliokuwa wanatembea kuelekea ofisi ya mkuu wa wilaya wakiwa wamevalia tshirt nyekundu walivamia gari mali ya kampuni moja ya utalii hapa Arusha wakamtoa dereva kwa nguvu kwenye usukani na wengine kuwavamia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lionel Messi wa Bercelona apanda Mlima Kilimanjaro, alikuja kutengeneza Tangazo

    Kwa uongo sasa tumezidi bango la kilimanjaro limebadilishwa mwaka wa tatu sasa na huyu messi si ni mgonjwa?angepandaje mlima?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Mkuu nani anataka bia leo?nitanunua hata mataptap kwa anayeunga mkono hoja bora kumtupa yona baharini kuinusuru meli kuzama. Maamuzi makubwa kama haya yanafanywa na watu makini tu, hongera chadema
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi yauwa Kilimanjaro

    Noma sana ukizingatia kiasi cha pesa walichofuata na kuua mtu rip
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

    Lakini muheshimiwa Zito mimi mwenyewe sijawahi kukuamini kama wewe ni mwanachadema au mwana-ccm sasa ni bora uamue kusuka au kunyoa utaweka heshima zaidi ya kuwa sura nje roho ndani
  9. M

    JamiiForums Tanzania China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Kawaida mabaozi hawatakiwi kuingilia siasa za ndani za nchi husika, lakini kwa China hapa kidogo kuna walakini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

    Mnyika: Viongozi lazima wawe na busara ya kuongoza bunge Ndugai: Mnyika bado mchanga rufaa zake hazina nguvu, my take wananchi wanaona hoja za Mnyika zina hoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

    watalii Arusha wanaambiwa nchi inaharibiwa na Serikali ya CCM na sio Chadema maana tour guides wote na maboss zao ni Chadema kuanzia mtoto hadi damu zao
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiwia na Wenje mnawakilisha akina nani? WanaMwanza hatutarudia makosa 2015

    Mtu wa kigamboni anawasemea watu wa Mwanza ambayo hata hajawahi kufika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Kwa sababu anajua ccm walihusika basi ndio anawanasua kwenye kikaango cha kufutwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mauaji yanayofanywa na polisi, ni mauaji ya kisheria

    Kweli kuna wapumbavu wengi hii Tz
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Wapumbavu %0
Back
Top Bottom