Recent content by Mangusha942

  1. Mangusha942

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Dah leo ndio nimemaliza kusoma huu uzi mpaka hapa. Nimepata maswali fikirishi mengi sana. 1. Mshahara wa dhambi ni mauti je usipofanya dhambi haufi? 2. Je kuna watu ambao wapo peponi mda huu? 3. Siku ya kiama itakuaje? coz mwili tulionao sasa utakua ushaharibika so tutapewa mwili mpya then...
  2. Mangusha942

    Mara ya kwanza kumuamini mwanamke ilikuwa baada ya kuzama kwenye penzi zito na yeye

    Maandiko yalishasema tuishi nao kwa akili Maana yake ni kwamba wao wanaakili kuzidi wanaume . Na hakuna kiumbe hatari kilichowahi kuumbwa duniani kama Mwanamke. Do not ever try to trust women, never ever pls n pls.
  3. Mangusha942

    Mtumishi akitaka kujua deni lake analodaiwa HESLB aombe Loan Statement, deni halisi ni tofauti sana na linaloonekana kwenye Salary slip

    Hii ni ahadi kubwa sana umeitoa na ngumu sana kuitekeleza kwa akili za kawaida coz mshahara huwa hautoshi na kabla hujaupata huwa ushaisha. Mungu akusaidie kuitimiza hii ahadi na kwa hakika utaongezewa mara dufu
  4. Mangusha942

    Threesome inazidi kupendwa kwa kasi

    Yap discussion ili tuwe fiti wkt wa test.
  5. Mangusha942

    Threesome inazidi kupendwa kwa kasi

    Wewe na mimi tunakua wanafunzi. Then tutakua na grup discussion sie wawili tu :D :D :D :D :D
  6. Mangusha942

    Threesome inazidi kupendwa kwa kasi

    Na mimi nataka kufundishwa 😂 😂 😂 😂
  7. Mangusha942

    Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

    Asante sana mzee baba. Mafanikio ya kwenye biashara yyt yapo kwny hizo point ulizozieleza
  8. Mangusha942

    Mtumishi akitaka kujua deni lake analodaiwa HESLB aombe Loan Statement, deni halisi ni tofauti sana na linaloonekana kwenye Salary slip

    Wanasema rentation fee inachajiwa kwa kiasi ambacho hakijalipwa kwa mwaka. So kwa mfano wewe mwaka 2015 uliwekewa deni la 10 Mil kwenye salary slip yako, na hilo deni utalilipa kwa miaka 6 tuseme so kile kiasi ambacho kinakua kinabaki kila mwaka kinachajiwa 6% tena hivyo baada ya miaka 6 deni la...
  9. Mangusha942

    Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

    Nakushauri usiache pombe aisee. Utaanza kurudi nyumbani mapema na kuanza kufanya umbea na wife. Pombe ni uhai lakini isikupelekeshe tu. Kama unaweza punguza tu lkn USIACHE
  10. Mangusha942

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah bora wangeurudisha ule uzi wetu wa kula kimasihara tu
  11. Mangusha942

    Kosa wanalolifanya wanaume wengi sana kwa wake zao

    Asante kwa ushauri mtaalamu wetu
  12. Mangusha942

    Ananitega, nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii!

    me ni tofauti aisee, Try me uone:D:D:D:D
  13. Mangusha942

    Ananitega, nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii!

    Sio wanaume wote maharage ya mbeya wengine huwa tunakataa hata tukitongozwa. Jaribu kunitongoza uoene kama sijakukatalia 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
  14. Mangusha942

    Vitu Mwanamke (Mke) anahitaji

    Wanasema ukianza kumuelewa mwanamke ujue karibia unakufa coz hakuna kiumbe ambae haeleweki kama mwanamke. Hata umpe kitu gani akiamua kukusaliti atakusaliti tu
Back
Top Bottom