Yaan toka siku zote hawakujua kuwa uwanja ni mdogo na utapata usumbufu kwa wachezaji na kupunguza performance..Ni muda wa watu kuwa wakweli .. crystal clear..au kuna sababu nyingne humu wakuu
Hao wataalam are they pure in mind ? How much freedom do they have kuongelea tafiti wanazofanya ? Japo kuna tafiti serikali inazizua kwa manufaa ya wananchi kuondoa hofu na mgawanyiko wakati wakitafuta best solution but wanafanya kwa wakati ?
Hii issue watu wanaichukulia kisiasa ndio maana mapovu mengi .. serikali nayo haitoi matamko sahihi kwa wakat sahihi pindi kunapotokea issue yoyote matokeo yake zinakuja tafsiri za kisiasa ..Mwisho wa haya yote ni kuwa na wasomi wakutosha with pure mind(not corrupted one) nchini kwa kila field .
Bado hatutoweza mipango kama huo inahitaji maandalizi kuanzia walimu mpaka wazazi na pia wanafunzi wenyewe. Ninavyoongelea corrupt system nalenga moja kwa moja assessment ya mwalimu kwa mwanafunzi ambao hautaleta tofaut either na mzazi mwanafunzi au elimu ngazi inayofuata
Tatizo kwa elimu yetu ni ule mtihani mmoja kutoa tathmini ya mwanafunzi hapa nazungumzia mitihani ya taifa. Mfumo wa elimu wanaoutaka wao ni ule ambao haupimi uelew wa wanafunzi kwa mitihani ambao unapelekea watoto kukariri kitu ambayo kinahitajika hata hapa kwetu.Lakini kwa level yetu hatupaswi...
Ni system nzuri lakin inahitaji non corrupt system kutoka ngazi ya chini kabisa hadi kufika chuo kikuu kwa uadilifu wa viongozi wa shule zetu bado hautafanikiwa huu mfumo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.