Recent content by mangonifera indica

  1. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

    Riziki yako ikiisha mahali, unajikuta tu unafanya mistake ndogo hapohapo kibarua hauna.....
  2. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Watu wanaongea kwa mihemko tu, elimu bure si imeanza juzi tu
  3. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe aagiza Wanafunzi watatu wafukuzwe Shule kwa kujihusisha na vitendo viovu

    Hivi ukisikia mwanao wa kiume wa darasa la tatu ana lawitiwa na kijana wa darasa la sita kila siku huko vichakani tena anapewa onyo kali asiseme popote, je ukisikia huyu kijana wa darasa la sita anae walawiti watoto wa la tatu kushuka chini amefukuzwa shule utaumia?
  4. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Sikio langu la kushoto limeanza kuwa na shida ya kutosikia vema

    Kamuone dokta edwini yupo Muhimbili na ana kliniki yake regency hospital nadhani siku ya Jumatano mimi nilikuwa na tatizo kama lako akanitibu vizuri kabisa
  5. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

    Harusi yangu gharama hazikufua laki tano.... Tupo na amani na furaha
  6. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wadaiwa kufuga Fisi na kuwatumia kama usafiri

    Mbona huyu jamaa ni mondi 😂
  7. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

    Wale watoto wa mwanzo (alfajiri) wanaopitiwa na gari mapema kigiza kikiwepo huwa ni victim wa madereva na wale wadogo wanateswa na wale wakubwa. Wazazi waangalie hilo. Kuna member humu alisema aliwaona wanafunzi kwenye school bus wakinyonyana ndimi siti ya nyuma kabisa. Kaa chini na mwanao...
  8. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa Dar: Je, nini kinawalinda, au imani ya kwamba ukiwagusa unadhurika ndio ulinzi wao?

    Nasikia ukiwaiba kuna chamoto utakachokiona.
  9. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu (ku-bleed) kila baada ya kupata mshtuko inasababishwa na nini?

    Ndugu yangu alianza hivyo hivyo akishtuka ana bleed,miaka ikakatika na hali hiyo hiyo,baadae akagundulika ana colon cancer,baadae imechanganya na cervical cancer ni ana bleed non stop yupo katika maumivu makali japo anapatiwa matibabu.....mwambie akaangalie saratani ya shingi ya kizazi pia
  10. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

    Naona kuna ukweli hapa
  11. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Kweli shetani anamakusudi sana

    Shikamana na ibada na elewa kuwa uzinzi ni dhambi... Ibilisi ndiye anaekutia majaribuni na mwisho kabisa majuto ni mjukuu.... Utasema ningejua!
  12. mangonifera indica

    JamiiForums Tanzania Hongera UDSM kwa uvumbuzi huu wa Fukiza UDANOL

    Naumwa sana ndugu zangu, nipo napambania uhai kwa njia mbalimbali, ugonjwa upo na tuchukue tahadhari
Back
Top Bottom