Kutokwa na damu (ku-bleed) kila baada ya kupata mshtuko inasababishwa na nini?

Kutokwa na damu (ku-bleed) kila baada ya kupata mshtuko inasababishwa na nini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,126
Reaction score
62,133
Habari wakuu,

Nina mpenzi wangu ana hii changamoto, kila apatapo mshtuko tu, anaanza kutokwa damu ukeni. Alishaenda hospitali akapewa tiba, lakini naona tatizo linajirudia. Pia kama kuna hospitali inayoweza kumaliza hilo tatizo naomba mnielekeze.

Asanteni.
 
Daah kumbe h kitu ipo kweli, kuna demu wangu alikuwa anakwenda kwao (tunaweza tusionane tena 😭😭😭) akanambia ame-bleed kabla ya siku zake
 
Mpenzi, haina mashiko sana!
ANGEKUWA MKE, HAPO POA.

ila nawewe acha kumshtua, SUPRISE, kugegenda nje n.k n.k.

ILI UWE UNAJI LIA MZIGO ANYTIME

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu alianza hivyo hivyo akishtuka ana bleed,miaka ikakatika na hali hiyo hiyo,baadae akagundulika ana colon cancer,baadae imechanganya na cervical cancer ni ana bleed non stop yupo katika maumivu makali japo anapatiwa matibabu.....mwambie akaangalie saratani ya shingi ya kizazi pia
 
Habari wakuu,
Nina mpenzi wangu ana hii changamoto, kila apatapo mshtuko tu, anaanza kutokwa damu ukeni. Alishaenda hospitali akapewa tiba, lakini naona tatizo linajirudia. Pia kama kuna hospitali inayoweza kumaliza hilo tatizo naomba mnielekeze.
Asanteni.
Hizo hali ni kawaida kwa wanawake
Wengine huingia menstruation
Wengine hupata kizunguzungu
Wengine hupata pressure ya kupanda ama kushuka
Wengine hupata tumbo la kuhara
Wengine hutoa haja ndogo
Wengine huzirai
Na kwa hali ya kushangaza sana wengine hufika kileleni
 
Na ndio maana hapa jwtz kikosi Cha mizinga hatuna demu hata mmoja *****. Ikipigwa katushya moja mademu nne kwa kila kumi hublid.
 
Habari wakuu,

Nina mpenzi wangu ana hii changamoto, kila apatapo mshtuko tu, anaanza kutokwa damu ukeni. Alishaenda hospitali akapewa tiba, lakini naona tatizo linajirudia. Pia kama kuna hospitali inayoweza kumaliza hilo tatizo naomba mnielekeze.

Asanteni.
Labda ni kawaida ajijenge tu kisaikologia kua asiwe anashtuka.

Mke wangu kipindi tulivyokua hatujaoana miaka Ile mabomu ya gongo la mboto yalivyolipuka aliingia bleed dakika hiyo hiyo Kwa ule mshtuko maana kwao si mbali na gongo la mboto.

Ila nikiri ule mlio hata mwanaume unaeza ingia bleed. 😎
 
Back
Top Bottom