Ndo milaana itawarudia chezeeni Mungu Mungu hapendi ujinga mlikua mnadanganywa, kutukana majukwaani wawe ok nawalicho panda...😁ndo hvyo mwiyi ndo Rais 5 tena ndo imetoka hiyo
Sasa wewe ulitaka wawe akinanani manake Chadema ni kulalamika tu mlilalamika kuwa nchi haina ndege ndege zimeletwa ni kulalamika tu mlisema raisi anasafiri huyu hasfiri bado mnalalamika mlise.a dar msongamano flyover hizo bado mnalalamika..sasa mbadilike mnautoto mwingi mpaka raisi wenu wa...
Jamani Maalim yuko kwenye kifungo alitakiwa asijihusishe navsiada Mrema yeye aliisha amua awali kabla ya nia kua tawapigia debe ccm Chadema mlipewa hiyo opportunity mkachagua Membe sasa mnacomplicate mambo
28october ndo atajua jpm nani 30october kesi alizofunguliwa lisu zitaanza zitachukua miaka 5 baada ya hapo atanyooka tu huu ndo wakati wake mwacheni aropoke
Huyu jamaaa kweli mshamba JPM stabaki kuwa babalao Lisu muongo hupati kitu haki iliyopo tanzania haijawahi tokea JPM karudisha heshima haki ...Lisu huna sera ...Wewe maliza tembeza bakuli uende kahama ...timekuchoka JPM amekuweka sawa na asibadilishe station uchaguzi kiisha tuanze mikesi...
Amchukulie hatua kwa kosa gani si uhuru na demokrasia hajamtukana mtu bali kamwambia ukweli ...sasa mlitaka polisi aseme atashinda ili msemeje chama fulani bwana wao wakiongea sawa wengine wakiongea kama wao eti wachukuliwe hatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.