Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

Naomba kukumbushwa ilani ya Chadema ilikuwa na nini zaidi ya Ushoga??
1. Ushoga
2. Kugawa nchi vipandevipande
3. Kuweka rehani madini
4. Magufuli hajafanya chochote
5. Matusi
Nadhani kuna haja ya lissu kupimwa akili: Hivi kweli mtu mwenye akili timamu unaweza kusimama mbele ya watu ukawaambia Magufuli hajafanya kitu wakati kwa macho yao wanaona miradi lukuki ya maendeleo inatekelezwa kwenye maeneo yao?
 
Hayaaa tutaandaa uchaguzi mwinginee eeeh ntoto nzuri eeeeh. Haya nyamazaaa ntoto nzuri eeeeeh. Ooooooh ooooh nyamaza eeeeeehhhhhhhh
Yaani hiki kidada kinaandika upuuzi tu kwenye Kila mada, sijui hata kimeishiaga darasa la ngapi!
Kiko kapa kishabiki kinafuataga mkumbo mbele mbele kama mfuko wa shati

Wadau wengi humu hawakipendi🤣
 
Tulikauka koo kwa kuwashauri, kuwapigia magoti, kuwasisitiza, jamani acheni kuwa WANAHARAKATI, jitahidini muwe WANASIASA, raia wawaelewe na kuwapenda ili wawapigie kura mpate KULA, wao vichwa ngumu, wabishi kama mishipa, wanajifanya watoto wa mjini, waking'ang'ania mitandaoni kama dada Mange, kama vile kura wapate kula zapigwa mitandaoni, angalia walivyogalagazwa! Kama bibi aliyekula vyetu tukaamuwa kuumla kibabe!
Mbururura kabisa hawa, wamekipata kichapo cha mbwa koko, mpaka waweze ku-recover sijuwi mwisho wa Dunia!
Kweli kabisa, tulijitahidi sana kuwashauri, lakini tulichoambulia ni matusi. Matokeo yake ndio haya sasa, kipigo cha mbwa mwizi!
 
Magufuli na wapwa zake wanadhani wanaweza kumdhihaki Mungu mpaka unazunguzia uchaguzi wa 20125 wakati tutafanya uchaguzi mwingine tena ulio huru na wa haki kabla ya 2025. Nature inafanya kazi yake na kuna mtu anakwenda kumfuata Mkapa alikokwenda kabla ya hiyo 2025.
Who knows, labda wewe ndio unaweza kuwa wa kwanza kuondoka. Kuwa mnyenyekevu, usijivike uwezo wa Mungu wa kuamua nani ataondoka kwanza. Please .....!
 
Kweli kabisa, tulijitahidi sana kuwashauri, lakini tulichoambulia ni matusi. Matokeo yake ndo haya sasa, kipigo cha mbwa mwizi!
Matokeo yapi? Kipigo kipi? Hakuna uchaguzi hapo kuna maigizo ya kuulawiti kuubaka uchaguzi hakuna uchaguzi umefanyika hapo ebu CCM acheni ushetani
 
Kila mtu anajua kilichofanyika Ni ubabe na Umungu mtu!
Uzuri Kila mwenye nguvu atapita watakuja wazuri Ni suala la muda tu!
Mi natamani kushuhudia miaka hii mitano ijayo wakimalizana wenyewe kwa wenyewe!

Navyojua Mimi Mungu Ni mkuu kuliko wote na ndiye anayetoa adhabu,na alisema malipo Ni hapahapa duniani!!

Wacha aendelee kusema tumsifu yesu kristo kumbe anajilaani mwenyewe😀

Wacha tutii mamlaka yaliyowekwa,Kama Vitabu vya dini vinavyosema tutaishi muda mrefu
 
Yes, it does: we are all in the same boat. Huwezi kumwamulia Mungu na kusema fulani atakufa kwanza. Uwe mnyenyekevu mbele za Mungu
Ogopa mtu anayejifanya kutaja taja Mungu kila saa kama wewe! Nyie ni wanafiki na wadhambi wakubwa. Nyie ni sampuli ya kina Gwajima wanaotapeli fedha za maskini makanisani halafu wanakwenda kustarehe na makahaba huku wakijichukuwa clip za video. Nyie ni wadhambi wakubwa na jina la Mungu mnalitaja tu kunufaisha nafsi zenu. Unakuta jitu linabandika picha kila mahali likijiita eti ni linyeyekevu na kumtaja Mungu kila dakika wakati kifichoni linapanga kuua watu. Koma na ulaanike!
 
Basi heri yako wewe usiyekuwa na dhambi!
 
Dhambi ninazo lakini siyo za kununua kama nyie wanafiki. Mtu unaiishi kwa utapeli wa kudanganya watu kanisani kila siku na kuzini na wanawake halafu unasema ''heri ya asiye na dhambi''? Au unaamuru watu wauawe bila sababu za msingi halafu unajiita mnyenyekevu kwa Mungu! Mbona watu wanataka kumfanya Mungu kama chombo chao cha maovu? Enyu mafarisayo acheni unafiki!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho.

Kwenye kampeni zetu wagombea wetu kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na udiwani walikuwa wanahubiri maendeleo, amani, utulivu na umoja wetu. Wamehubiri nini tumefanya ndani ya miaka 5 na nini tumeahidi kufanya katika miaka 5 ijayo. Mgombea wetu wa Urais Dr Magufuli ilipobidi alikuwa anatatua kero za papo kwa papo. Kwa kifupi tuliingia ndani ya nafsi za wananchi.

Kikubwa zaidi yule tuliyemjua ni mwenzetu tulihakikisha anapiga kura na tumefanikiwa katika hilo.

Hawa wenzetu sijui walikuwa wanahubiri nini kwenye kampeni zao licha ya kujisifu walikuwa wamejaza watu na wamefanya mikutano mingi kuliko CCM (HOJA YA UONGO). Mbaya zaidi wale waliowakimbilia kwenye kampeni wamekimbia kwenye kupiga kura. Hawakujitokeza mwisho wa siku CCM tumefanikiwa mbinu zetu kwa zaidi ya asilimia 90. Sasa ni dhahiri tunaenda kukamata mihimili yote ya dola. Hivi 2025 wanasalimikaje kwa mfano.

Hii ndio CCM aliyotuachia baba wa Taifa hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kumbuka katibu Mkuu aliyemaliza muda wake Abdulrahman Kinana alisema CCM tuna mbinu zaidi ya 200. Mwaka 2015 tulikuja na mbinu ya BAO LA MKONO. Mwaka 2020 tumetumia mbinu ya Ujanifishaji (Tanzania ya Kijani). 2025 tutakuja na kubwa lao.

Nawasilisha.
Mkuu weka akiba ya maneno coz najua unafahamu kwamba muda haukuwahi kudanganya. Nina imani baada ya miaka mitano utatamani kuufuta huu uzi ama utakaa mahali nakuona ulikosea kufikri sana.
Tunza hii tarehe
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho.

Kwenye kampeni zetu wagombea wetu kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na udiwani walikuwa wanahubiri maendeleo, amani, utulivu na umoja wetu. Wamehubiri nini tumefanya ndani ya miaka 5 na nini tumeahidi kufanya katika miaka 5 ijayo. Mgombea wetu wa Urais Dr Magufuli ilipobidi alikuwa anatatua kero za papo kwa papo. Kwa kifupi tuliingia ndani ya nafsi za wananchi.

Kikubwa zaidi yule tuliyemjua ni mwenzetu tulihakikisha anapiga kura na tumefanikiwa katika hilo.

Hawa wenzetu sijui walikuwa wanahubiri nini kwenye kampeni zao licha ya kujisifu walikuwa wamejaza watu na wamefanya mikutano mingi kuliko CCM (HOJA YA UONGO). Mbaya zaidi wale waliowakimbilia kwenye kampeni wamekimbia kwenye kupiga kura. Hawakujitokeza mwisho wa siku CCM tumefanikiwa mbinu zetu kwa zaidi ya asilimia 90. Sasa ni dhahiri tunaenda kukamata mihimili yote ya dola. Hivi 2025 wanasalimikaje kwa mfano.

Hii ndio CCM aliyotuachia baba wa Taifa hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kumbuka katibu Mkuu aliyemaliza muda wake Abdulrahman Kinana alisema CCM tuna mbinu zaidi ya 200. Mwaka 2015 tulikuja na mbinu ya BAO LA MKONO. Mwaka 2020 tumetumia mbinu ya Ujanifishaji (Tanzania ya Kijani). 2025 tutakuja na kubwa lao.

Nawasilisha.

They had no real shot at winning the election! Sasa watawaambia nini wananchi, zaidi ya kuonesha umahiri wa kutukana matusi na kuhimiza watu kujiandaa kuingia barabarani baada ya matokeo duni ya uchaguzi?
 
Matokeo yapi? Kipigo kipi? Hakuna uchaguzi hapo kuna maigizo ya kuulawiti kuubaka uchaguzi hakuna uchaguzi umefanyika hapo ebu CCM acheni ushetani

Kuna uchaguzi gani mliowahi kushindwa mkakubali matokeo? None, even if you go as back as 1995!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho.

Kwenye kampeni zetu wagombea wetu kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na udiwani walikuwa wanahubiri maendeleo, amani, utulivu na umoja wetu. Wamehubiri nini tumefanya ndani ya miaka 5 na nini tumeahidi kufanya katika miaka 5 ijayo. Mgombea wetu wa Urais Dr Magufuli ilipobidi alikuwa anatatua kero za papo kwa papo. Kwa kifupi tuliingia ndani ya nafsi za wananchi.

Kikubwa zaidi yule tuliyemjua ni mwenzetu tulihakikisha anapiga kura na tumefanikiwa katika hilo.

Hawa wenzetu sijui walikuwa wanahubiri nini kwenye kampeni zao licha ya kujisifu walikuwa wamejaza watu na wamefanya mikutano mingi kuliko CCM (HOJA YA UONGO). Mbaya zaidi wale waliowakimbilia kwenye kampeni wamekimbia kwenye kupiga kura. Hawakujitokeza mwisho wa siku CCM tumefanikiwa mbinu zetu kwa zaidi ya asilimia 90. Sasa ni dhahiri tunaenda kukamata mihimili yote ya dola. Hivi 2025 wanasalimikaje kwa mfano.

Hii ndio CCM aliyotuachia baba wa Taifa hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kumbuka katibu Mkuu aliyemaliza muda wake Abdulrahman Kinana alisema CCM tuna mbinu zaidi ya 200. Mwaka 2015 tulikuja na mbinu ya BAO LA MKONO. Mwaka 2020 tumetumia mbinu ya Ujanifishaji (Tanzania ya Kijani). 2025 tutakuja na kubwa lao.

Nawasilisha.
walikuwa wanahubili mihemko ya kipuuz toka ubelgiji
 
Back
Top Bottom