Pia mkumbuke mabadiliko yalianzia huko na mbunge wa kwanza kutoka upinzani mwaka 1995 alitokea Hai Kilimanjaro,kwa kweli kaskazini wanajielewa huwezi fananisha na Dodoma wako kwenye nyumba za nyasi lakini bado wanaikumbatia chichiemu
Mkuu kama huna hela za kuwafundisha watoto shule hizo bora unyamaze,hata wakizifungia usidhani kuna mtu atampeleka mtoto wake shule za Kata,tutawapeleka watoto wetu Kenya au Uganda kama ilivyokuwa mwanzoni kabla ya kuanzishwa hizi shule.huyo katibu akabidhiwe hizo shule aziendeshe kwa mwaka...
C kwa Ccm kila kitu kwao sawa,kwani aliyeviuwa ni nani mpaka aje avifufue?wameviuwa wao,hamtudanganyi hit kdg subirini tarehe 25 nimeshakinoa kichinjio changu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.