Na Ethiopia nayo n kama kijiji kimoja Tz kma Rwanda ni wilaya???
Maendeleo hayazuiliwi na ukubwa w nchi bali maendeleo ni mipango kazi inayoleta uhuru wa chumi na diplomasia.
Usitumie hoja nyepesi ya kujisatsfy why Tz is not among of fast growing countries in Africa.
Hivi kweli Tundu Lissu na CHADEMA wanauwezo wa kwenda maeneo ya nayolindwa zaidi Tanzania Area D ambapo mawaziri, makatibu viongozi wa bunge ambapo wametokea chama cha CCM wanaishi Ili atengeneze propaganda ya kuitoa na kuichafua CCM ya kutaka kumuua TL???
Ni mtu gani aliye madarakani anaweza...
Kwa nn isiwe na mahusiano?? (With fact)
Mm ninaona ni lazima iwe na mahusiano kwasababu tabia ya mtu inakuwa influenced na vitu viwili
1. Yeye mwenyewe anapokuwa ametambua yeye n nan anataka nn na aishije kufikia lile lengo lake.
2. Pili n tabia ambayo ipo influenced na mazingira ambayo...
We have nothing. Poor administration, lack of research, innovation and future national plans. Imagine with all engineers we have for fifty years of independence we can not make a simple electric or electronic chip. Even an electric bulb, an office pin, a sewing needle, a small radio mother...
Wewe chezea mkulu. Tanzania yote itazungushiwa ukuta kama Mererani 1.5 trilion zinapotea? Ni ajabu sana watu tunakaa kimya.? Nani atumbuliwe? It's too much to swallow
Yan umeamua uniblock nisione uzi wako jinsi ulivyokuwa unanyima haki ya ww kukosolewa umeona unitoe ili uepuke challenges sasa kweli mm mtu ambae na elimu ndogo tu hvi unani block sasa Tundu Lissu utafanyaje [emoji1][emoji23] nahis ungekuwa ruge ungefuta account yake Ila usijali nmecopy uzi...
Samahan sio kwa nia mbaya lkn Ila ningependa kujua level yako ya elimu [emoji52]. .....maana mtu kma mm ambae cjasoma nashindwa kumuelewa huyu mtu [emoji15]
NAPENDA KUCOMMENT YALE YAITWAYO MAJIBU SIJUI N MAONI SIJUI N SWALI JUU YA SWALI[emoji19]
1. Hapo Ukiangalia vzr hata lissu mwenyewe...

Ndugu mwandishi naona umeandika kwa kujiamini Ila siyo mbaya n haki yako ya kikatiba kuandika...... nataman kukujibu Ila Acha ninyamaze niandae uzi wangu.... maana jana nimeblokiwa..... Na watu kma nyie Ila kwa kuwa nina nia njema na nchi nitaendelela kupost ile comment mpka muache kupost tu...
Samahan sio kwa nia mbaya lkn Ila ningependa kujua level yako ya elimu [emoji52]. .....maana mtu kma mm ambae cjasoma nashindwa kumuelewa huyu mtu [emoji15]
NAPENDA KUCOMMENT YALE YAITWAYO MAJIBU SIJUI N MAONI SIJUI N SWALI JUU YA SWALI[emoji19]
1. Hapo Ukiangalia vzr hata lissu mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.