Hivi tunapowajia viongozi wa Kiroho na ujumbe kama huu kama wanaccm tunategemea nini kwao zaidi ya anguko. Kiongozi wa kiroho ktk haya makanisa unayoyajua ndiko walikosoma hao viongizi wako wa kisiasa kwa hiyo kiongozi wa kisiasa hana jipya zaidi ya kwenda na kuombewa na ushauri na Wale walioupokea ushauri wao walifanikiwa kiuongozi.Bawdhi ya Maaskofu hovyo kabisa kama wanataka siasa wajiunge na siasa waache uinjilisti na Utume
Mku ulichokuja nacho ni tofauti kabisa kwani Hoja ya Mange na hii ya Maskofu ina tofauti gani tusiwadhalilishe viongozi wetu wa Kiroho kwa mambo ambayo wameyatajaNi baadhi ya viongozi wa dini waliokua wananufaika na mfumo flani wa kuijiingizia vipato kwa mgongo wa dini sasa hivi kumebwanwa nanajaribu njia nyingi ili ionekane badhi ya mamabo ya serikali sio sawa kwa chuki binafsi
Siasa sio mambo ya kiroho,,washughulike na watu kuacha uovu,,hii itakuwa suluhisho LA kukoma kwa maovu mengi hata mauajiMku ulichokuja nacho ni tofauti kabisa kwani Hoja ya Mange na hii ya Maskofu ina tofauti gani tusiwadhalilishe viongozi wetu wa Kiroho kwa mambo ambayo wameyataja
Hakuna anaewadhalilisha,,tunaongea fact,,huwezi kuihusisha moja kwa moja serikali na matukio ya uhalifu,,jamii inao wajibu wa kuisaidia serikali na vyombo vya dola kufichua wahalifu kwani tuko nao katika jamii,kuna mifano nimetoa hapo juu ya matukio ya vifo vya watu ambavyo mwisho wa siku vimekuwa proved beyond no doubts kuwa vilifanywa na watu kutokana na chuki tofauti tofauti,hapo serikali inahusikaje? Je ni wajibu wa serikali kufundisha moral principles? Ni jukumu LA maaskofu, sasa kama wao wameshindwa na maovu yanashamiri je tuilaumu serikali?Mku ulichokuja nacho ni tofauti kabisa kwani Hoja ya Mange na hii ya Maskofu ina tofauti gani tusiwadhalilishe viongozi wetu wa Kiroho kwa mambo ambayo wameyataja
NILIFIKIRI NINASOMA MAMBO YA MAANA KUMBE UJIN**G****Nitumie fursa hii kukumbusha machache,,
Mosi
Rais wa awamu ya tano alichaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa mwaka 2015,uchaguzi ulijumuisha vyama vyote akina CHADEMA wakiwemo.Wananchi kupitia kura zao waliikataa CHADEMA na viongozi wao,njia sahihi na ya kidemokrasia ni kusubiri 2020.
PILI
Hoja ya watu kupotea na kuuwawa
Jamii yoyote popote ina uasi na mauaji.Tupac mmarekani alipigwa risasi,Lucky Dube alipigwa risasi,Tom mbuya wa kenya aliuwawa sababu hatujui hadi leo,Mwanamziki Jimmy Reeves alitunguliwa na ndege na mifano mingine mingi.Sikusikia wananchi wanaandama kuiondoa serikali kisa matukio haya ya kihalifu.Watu wanaweza uwawa kutokana na sababu tofauti tofauti ndani ya jamii,mfano mtu katembea na mke wa mtu,dhuluma,kugombania mashamba n.k utakuwa ni mtu usiekuwa na akili endapo utaihusisha serikali na mauaji yanayotokea katika jamii,kwa kifupi utakuwa una lako jambo unalotaka kulihalalisha hata kwa sababu za kutunga na za uasi dhidi ya serikali ya wananchi
TATU
Watu wanao okotwa
Hivi ukikuta mtu kafa njiani au kafichwa mahali ni serikali ndio inafanya hayo? Do you have brain? Yule mtu alokutwa kafa na kutupwa mto ndabaka juzi juzi ni serikali ilihusika? Yule ndugu alomuua mkewe na kumficha kwenye pango la mti singida ni serikali ilihusika?Mauaji yalikuwepo tangu zamani na hayaja anza leo.Maaskofu mna kila sababu ya kubeba lawama katika hili kwani mmesahau kazi yenu ya kuwafundisha watu kumrudia Mungu,badala yake mmekalia siasa ambayo sio wito wenu,,,
MWISHO
Hakuna haki iliyo minywa,ni ulafi wa madaraka na njaa ya tumbo ndio inasumbua baadhi ya wanasiasa
Jiulize,,
Kuna chama kinazuiwa kushiriki uchaguzi,,hapana
Uchaguzi wa 2015 kuna majimbo yalienda upinzani,,Ndio. Walishindaje kama hakuna haki?
Esther Bulaya alimshinda Wasira mahakamani,,,Ndio ni haki gani zaidi mnayo taka?
Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya vikao? ,Ndio hata leo CDM wamekutana,,haki gani zaidi??
In short acheni kuivuruga serikali tuloichagua sisi,,subirini 2020,,
,,0712207633 Mzalendo Halisi,,Tanzania kwanza,,
LONG LIVE JPM:HAPA KAZI TU
Nitumie fursa hii kukumbusha machache,,

In short acheni kuivuruga serikali tuloichagua sisi,,subirini 2020,, ,,0712207633 Mzalendo Halisi,,Tanzania kwanza,,
LONG LIVE JPM:HAPA KAZI TU