Recent content by maneno roberts

  1. M

    Iran Hiding Flight MH370 Boeing--Israeli Security Expert

    Hujui unachosema..! Na wala hujui chcht kuhusu Israel
  2. M

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Tetty ndg yangu mimi si fundi wa kutukana sbb cjapewa malezi ya kunifanya kutukana iwe part and parcel ya maisha yangu ila nakerwa sana na watu wanao leta analysis za uongo,na Mimi kalenga cjaijulia kwenye keyboard kama unavyodai bali naijui vilivyo ndo maana cwezi kutoa analysis ya mfano jimbo...
  3. M

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Sasa what's wrong with that..? We ulitaka wawe na soko kubwa kama la Kariakoo? au kama la Iringa mjini? au kama la majengo Dodoma? Jamani wananchi tukumbuke jimbo la kalenga linapatikana katika Wilaya ya Iringa vijijini (pamoja na jimbo la isimani) kama mnavyojua vijijini hali sio nzuri sana lkn...
  4. M

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Msigwa lazima ang'oke sbb he's not capable after all msigwa alichaguliwa kama njia ya kuikomesha CCM sbb walimleta mama mbega alieshindwa kwenye kura za maoni na mwakalebela alieshinda wakamtoa.Hii situation iliwakera kweli wana Iringa na wakasema "swela" na mhehe akisema swela...! Basi umekwisha
  5. M

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Nafanyia kazi mkuu,samahani kidogo itachukua mda (less 48hrs) sbb kwa sasa nipo km 400 hivi away from kalenga constituency
  6. M

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Hii picha haijapigwa kalenga wala sehemu yyt ya nyanda za juu kusini na hasa mikoa ya iringa na Mbeya kwa sbb zifuatazo... 1.nyumba type hii sio nyumba za asili za wenyeji wa kalenga na Iringa kwa ujumla. 2.physical appearance za watoto inaonesha ni wa jamii ya wafugaji... NB: kadanganye...
  7. M

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Acha uongo wewe,umewahi kufika kalenga wewe pimbi au unaropoka? Toka Iringa mjini kwenda kalenga kwa uelekeo wa ruaha national park umbali wa 130km kuna vijiji kama kalenga yenyewe,nzii,kidamali mpaka idodi.kote huko umeme ni wa kumwaga tena umeme ni wa gridi ya taifa. Haya nenda jimbo la...
  8. M

    Ngoma ikivuma saana mwisho hupasuka, CHADEMA "INATUHUSU'

    Kaka umewasilisha vizuri na kwa mantiki na sisi wenye akili tumekuelewa vzr sana ,tatizo ni bavicha na kiukweli bavicha ni janga la kitaifa
  9. M

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Kwahiyo na wewe unaipenda cdm sbb unashibia huko? Kingine wana bavicha mnacho chemka ni "jazba" yaani mnapandwa na jazba bila ya sbb za mcngi,Kumbuka ukiwa na jazba utajikuta unaropoka maneno ya ovyo na kujikuta unapoteza umakini na watu makini wanakupuuza. Hampo makini katika kujieleza sbb ya...
  10. M

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    We tuombe radhi wa Tanzania, yaan sisi ni wajinga? Wakiwemo wazazi wako,wajomba zako na ndugu zako wote. Plz omba samahani
  11. M

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Lukolo una akili sana mkuu coz una analyse mambo critically bila ya matusi wala kashfa
  12. M

    Karibuni sana Iringa wanaJF

    Vp ule utaratibu wa "we niangusage sambi sote sa kwako" bado upo? Raha sana
  13. M

    Viongozi wa CHADEMA kufunga mkutano wa kampeni Kalenga wakiwa na hangover za club la party

    Ebu tuambie na uwe muwazi je ingekuwa ndo mfano mwigulu nchemba ndo alikuwa anajirusha Jana club laparte pale gangilonga na mwana cdm ndo karipoti hili tukio unge comment vp? Nasubiri jibu
  14. M

    Picha hizi za watoto wa Saddam zinatufundisha nini Watanzania?

    Mkuu hakuna mijitu ya ajabu kama miafrica na hasa mitanzania,mipovu itawatoka kisa tu hawapo katika system. Mbona utakuwa baba ni seremala na mtoto nae anakuwa seremala vivyo hivyo kwa fani tofauti tofauti na hakuna kelele lkn ngoja sasa mtoto wa mwanasiasa nae awe mwanasiasa watu mapovu...
Back
Top Bottom