Viongozi wa CHADEMA kufunga mkutano wa kampeni Kalenga wakiwa na hangover za club la party

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Kampeni za Kalenga zinahitimishwa leo lakini viongozi wa Chadema wakiongozwa na Godbless Lema jana walikuwa Club Laparte Iringa mjini wakila maisha ,wakinywa pombe kali na wasichana wawili wawili kwa mtu aliyekuwepo wale wadada inaonekana ni wadada wa ki Arusha.

Moja ya Kitu ambacho viongozi hao wa Chadema walishangaza watu ni kuwa na Nguo zao za chama (Magwanda ) na kuonekana kupata shida na mabaunsa kila walipotaka kwenda na kinywaji kwenye Dancing Flow.

Wakionekana kuburudika zaidi kwa kucheza muziki kwa fujo wakiwa wameshikilia viuno vya mabinti wawili wawili viongozi hao walionekana kuchizika ama kukereka pale Dj alipopiga wimbo mmoja wa kizazi kipya unaoitwa Ridhwani kwani walikuwa wakicheza kwa kuweka vidole viwili juu na kuvizungusha sana.

Wasiwasi wangu juu ya tukio hilo la uwepo wao wa Club na kulewa kupita kiasi pamoja na kuwa na hao mabinti ni dhahiri hawakupata muda wa kutafakari namna gani wanaweza kumaliza Kampeni kalenga kwa kusema sera zenye kujenga na si porojo hasa za kuzalilisha watoto wadogo kama lema alivyoonekana kwenye mkutano wa siasa anachukua watoto ambao nguo zimechanika na kutengeneza hoja kwa hao watoto ambapo kimsingi si haki ni kuwadhalilisha na kama Lema angekuwa na uchungu huo anaosema angeanza pale kwake kwani kuna maelfu ya watotot hawajui wanakula nini, wanavaa nini na yeye akiwa kama mbunge hana msaada kwao, kuna watu kutoka Arusha wamesema Lema kama Mbunge hajawahi kushiriki shughuli za kimaendeleo hata siku moja.
 
Duh naona unatumia muda mwingi sana kuichafua CDM lakini unagonga mwamba...!! Kila la heri katika utafutaji wa BK7
 
Ofcourse habari yako ni ya kutunga na wengi tu wataishitukia baada ya kuisoma......

Ila ulivyokuwa mburula, jinsi ulivyomalizia hiyo habari, utawafanya hata wale ambao wasingeweza kukushitukia kirahisi nao washituke kwani umemalizia na propaganda za wazi kabisa na kuonyesha nia yako halisi ilikuwa kumponda Lema, ila hiyo story umeitunga ili upate sehemu ya kutokea....

Kampeni za Kalenga zinahitimishwa leo lakini viongozi wa Chadema wakiongozwa na Godbless Lema jana walikuwa Club Laparte Iringa mjini wakila maisha ,wakinywa pombe kali na wasichana wawili wawili kwa mtu aliyekuwepo wale wadada inaonekana ni wadada wa ki Arusha.

Moja ya Kitu ambacho viongozi hao wa Chadema walishangaza watu ni kuwa na Nguo zao za chama (Magwanda ) na kuonekana kupata shida na mabaunsa kila walipotaka kwenda na kinywaji kwenye Dancing Flow.

Wakionekana kuburudika zaidi kwa kucheza muziki kwa fujo wakiwa wameshikilia viuno vya mabinti wawili wawili viongozi hao walionekana kuchizika ama kukereka pale Dj alipopiga wimbo mmoja wa kizazi kipya unaoitwa Ridhwani kwani walikuwa wakicheza kwa kuweka vidole viwili juu na kuvizungusha sana.

Wasiwasi wangu juu ya tukio hilo la uwepo wao wa Club na kulewa kupita kiasi pamoja na kuwa na hao mabinti ni dhahiri hawakupata muda wa kutafakari namna gani wanaweza kumaliza Kampeni kalenga kwa kusema sera zenye kujenga na si porojo hasa za kuzalilisha watoto wadogo kama lema alivyoonekana kwenye mkutano wa siasa anachukua watoto ambao nguo zimechanika na kutengeneza hoja kwa hao watoto ambapo kimsingi si haki ni kuwadhalilisha na kama Lema angekuwa na uchungu huo anaosema angeanza pale kwake kwani kuna maelfu ya watotot hawajui wanakula nini, wanavaa nini na yeye akiwa kama mbunge hana msaada kwao, kuna watu kutoka Arusha wamesema Lema kama Mbunge hajawahi kushiriki shughuli za kimaendeleo hata siku moja.
 
Huu ndio wanaita wivu wa kike, huenda ulitaka makamanda wakakutafune wewe ukakuta makamanda ni stable umeamua kuwaharibia kwa familia zao.

Thereafter hueleweki, umekuja na issue ya watoto serikali yako iliyowatelekeza na hawajui future yao unaichanganya na habari za disco na mademu...

Inaonekana gamba ume panic Sana, kipi kikusikitishacho?
 
Wewe ki.a.zi au wewe huna hangover? Ndio maana umeandika pumba mwanzo mwisho. Mara mademu wa kiarusha mara mtu kaja toka arusha ooh watoto wanavanguo za kuchanika............. lol kazi ipo. tulia mnyolewe
 
Kuna haja ya kuanzisha jukwaa la MAKANJANJA mleta mada hapa si mahali pako ludi uliko toka kwa njia ile ile uliyo jia umepotea sana
 
Huu ndio wanaita wivu wa kike, huenda ulitaka makamanda wakakutafune wewe ukakuta makamanda ni stable umeamua kuwaharibia kwa familia zao.

Thereafter hueleweki, umekuja na issue ya watoto serikali yako iliyowatelekeza na hawajui future yao unaichanganya na habari za disco na mademu...

Inaonekana gamba ume panic Sana, kipi kikusikitishacho?

Ebu tuambie na uwe muwazi je ingekuwa ndo mfano mwigulu nchemba ndo alikuwa anajirusha Jana club laparte pale gangilonga na mwana cdm ndo karipoti hili tukio unge comment vp? Nasubiri jibu
 
Viongozi wa chadema hawajui siasa bali wengi wao wana taaluma zao ikiwemo hiyo ya kujirusha na vimwana.
 
Dada yako alikuwa mmoja wa hao wasichana nini? maana haizi kichwani kama na wewe hukuwa club parte ulijuaje yote hayo, mlikuwa wote sasa unashangaa nini???

HATA HIVYOAKILI ZA CDM USIZANI ZA CCM, eti namna ya kufunga kampei ajadili usiku ili kesho ukatekeleze, hapana CDM imejadili siku nyingi kabla
 
Kwa hiyo ndugu yangu we ulitaka wafanye nini? kazi yako kuwachafua watu ebu jieshimu kwanza acha utoto na huo ni unaa kama wewe ni mwanaume
 
Wivu wakike wacha watu wale rahaa nchi yetu kwanini tujibane wewe Wa Lumumba nini maana hicho chama chenu kimejaa vikongwe na mawazo mgando km wewe
 
Mtajitekenya na kuweweseka sana MACCM, wanakalenga kesho watafanya maamzi mazuri!
 
Jamii ya sku hizi imekuwa kama magazeti ya udaku daaaa jukwaa hadi linaboa ki ukweli daaa mladi kila mtu ana post tuu
 
Back
Top Bottom