Recent content by mandili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

    Dahh afadhali naweza fuatilia EPL sasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa wamiliki wa TV stations

    Peleka jukwaa la biashara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Rais Kikwete na CCM kwa ujumla

    Magufuli alikua haelewiki ni mpinzani au mCCM maana mara Mikopo ,mara makabial yote hakuwa Organized kiukweli na sjui ni kwann kwanin wasijifunze kwa kina Obama wanapokuwa wanazungumza na wananchi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Iringa mjini msipomrudisha Msigwa bungeni hatutawaelewa

    We mbon kama Msengerema au hutokei huko, Iringa unakujuaje ndugu
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wajifunze kwa CCM ili wakomae kisiasa na kuacha uanaharakati

    Nyooo!!!!!!!!!! kumbe ni wewe, huna jipya. utakalia kuwanga bint mdogo shauri yako ukifanikiwa kuwa bibi utakuwa kachawi au kiongozi wao. Wew mbona huna cheo chochote kama democrasia ipo. Kalaga bao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira jipime kwa hili

    Swali lako ni lipi sasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    mbona Jimbo la Ismani kama halitembelewi na viongozi wa Kitaifa kama maeneo mengine ukimwondoa sosopi ambae ni nyumbani kwao. Tunapenda hamasa hii ifike pia Ismani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi alivyowadanganya wananchi wa Mbeya 2010 ili apate ubunge

    Sawa, Ehe nyie mnahoja ipi sasa kurejesha jimbo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Kwani huyu si ndo alikua Rais UDSM mwaka 2006/2007 au sie, mbona wakawaida sana CDM alikua na wadhifa gan au anataka kick ya kutokea
  10. M

    JamiiForums Tanzania Diwani kata ya Kimara B jimbo la Ubungo akamatwa na polisi muda huu

    Polen makamanda
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu: Kataeni Katiba

    Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya "hapana". Taarifa iliyotolewa na Jukwaa hilo jana na kusainiwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Songea: Wakati Wasira akilakiwa na Nape Nnauye, wengine waingia kimyakimya

    Wasira amelifanyia nini Taifahadi tumwamini, Uadilifu, Kutokupenda Rushwa na mengineyo ndo misingi ya kiongozi yeyote, tunataka mambo yapekee aliyolifanyia taifa ambayo ni plan yake (Unique plan)na taifa likanufaika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Msigwa, Tuambie kwa nini ulikaa kimya wakati serikali inapoteza mapato?

    Msigwa umeanza kuvimba kichwa, uswahiba wako na nyalandu usiwe ndo kufumbia macho uovu wa serikali na kujifanya kipofo, real we are watching you, kunasiku nimekuskia ukipongeza sana jitihada zake lakin humkosoi anapo potoka kanakwamba nawe ni part ya serikali, tambua kuwa wewe ni oposition...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kisiasa yapigwe marufuku mabarabarani na mitaani

    Akili za kubustiwa ndo matatizo yake, Ulaaniwe wewe na nzige wenzako kama wewe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Nikwamba aliwapelekea taarifa polisi tokea tar 22/01/2014 wakakaa kimya na Cuf wakaendelea na maandalizi na kukamilisha taratibu zote za mkutano na maandamano, jana asubuhi pori ndo wakaja na katazo lao lenye sababu kibao, na Prof akatii katazo akiwa katika zoezi la kuwatawanya wafuasi wake...
Back
Top Bottom