IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Hofu kubwa inayo tanda na kuwasumbua wana CCM wote ni kuhusu wanachama wa CCM wanayo hama kutoka CCM kwenda vyama vingine vya upinzani. Hii inaonyesha wazi kuwa CCM hawajiamini na hawana uwezo wa kuliongoza taifa hili ila kitakacho enea tu ni siasa na propaganda. Wananchi watakosa mahitaji muhimu ila watapigwa siasa, Elimu mbovu haita rekebishwa ila kupigwa siasa.
Jana katika ufumbuzi wa kampeni hakuna cha maana kilicho zungumzwa na wengi wao ila tu ni kurusha vijembe kwa Lowasa na Sumay sasa CCM inataka kutupeleka wapi au inataka kutujengea serekali bora ya vijembe na ufisadi???????