Ombi langu kwa wamiliki wa TV stations

Ombi langu kwa wamiliki wa TV stations

luckman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,211
Reaction score
373
habari ndugu wanajamvi na wamiliki wa vyombo vya habari (TV STATIONS)

Mimi ombi langu ni moja, tumekuwa mashuhuda wazuri sana wa namna DSTV wanavyotumaliza na bei zao, premium unalipa more than 270+k per month. huu ni mshahara wa mtu

Nikiangalia sababu ya kupandisha bei hizi sanasana ni mpira na some of the series, ukigeuka upande wa pili baadhi ya tv station zetu wanakuja vizuri sana na kuuzika utawala wa DSTV nadhan utafanikiwa kwa mbinu mkakati kama itafanikiwa, biashara ni ushindani.

Nikiangalia mfano AZAM TV WANAONESHA--LA-LIGA
TING WANAONESHA SOME OF--EPL GAMES
STAR TIMES WANAONESHA BUNDESLIGA
ZUKU WANAONESHA SCOTISH, BELIGIUM NA LIGUE 1 OF FRANCE.

KWA NINI MSIUNGANE NA MKATENGENEZA PACKAGE MOJA YA SPORTS ILI KUTUPUNGUZIA MACHUNGU?
PLEASE KAENI NA MLITAFAKARI HILI KWA MAKINI, NAJUA INA UGUM WAKE LAKINI INAWEZEKANA SANA TENA SANA, TUSAIDIENI WATANZANIA TUNAUMIA SANA. MNAWEZA KUIWEKA KWA REASONABLE PRICE NA WATANUNUA SANA, WANAKACHOFANYA DSTV NI UNYANYASAJI, WAMEKOSA STRATEGY YA KUSHAWISH WATU WAJIUNGE SANA NA WAPUNGUZE BEI, WANACHOFANYA NI KUONGEZA BEI KADIRI WATU WANAVYOPUNGUA. PLEASE WORK ON THIS.
DEMAND IPO KUBWA MNO.
 
Back
Top Bottom