Recent content by mandago shululu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Alifukukuzwa mwaka gani,nini sababu za kufuzwa,nani aliyemfukuza?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mbowe pamoja na ya Bunge hakuna aliye mkweli

    Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe. Aliyetoa taarifa ya kukanusha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa kisiasa waliokaa miaka mingi Bungeni wanatufundisha nini?

    Wasira alikaa miaka mingapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Mmekubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya kupatikana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM wahaha kupata mgombea uchaguzi mdogo Kwimba

    Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Malya Wilaya ya kwimba Jimbo la Sumve ,CCM Wanahaha kupata mgombea baada ya Jana chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumpitisha mgombea wake. Chama cha mapinduzi kilitangulia kupata mgombea wake siku tatu zilizopita,lakini baada ya Jana chama cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

    [Majembe aina gani hayo,Ya kulimia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

    Gari La Mbunge wa Kwimba kupitia chama cha mapinduzi mh. Mansour limepigwa mawe na kutolewa vioo likiwa linagawa majembe kwa wananchi wa Lunele Jimbo la Kwimba. Wananchi walifikia hatua hiyo baada ya kukerwa na hiyo tabia ya kuwagawia majembe,kwani walitofasiri kuwa ni Rushwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mhasibu halmashauri ya Kwimba ni jipu la muda mrefu

    Mtoa taarifa hana kosa,wewe unayaeanza kukosoa ndio unakosa na inaqwzekana ndio kundi hilohilo la majipu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mhasibu halmashauri ya Kwimba ni jipu la muda mrefu

    Halmashauri ya Wilaya ya kwimba ni Wilaya kongwe kati ya Wilaya za Mkoa wa Mwanza,lakini cha kushangaza ni Wilaya ya Mwisho kimaendeleo kati ya Wilaya zilizo Mkoa wa Mwanza. Tatizo kubwa lililopo ni aina ya wakuu wa Idara waliopo Kwimba kushilikiana na uongozi wa juu wa Wilaya. Pamoja na kila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi TAMISEMI na ALAT taifa

    Kwanza poleni na shughuri za kila siku za ujenzi wa Taifa letu. Ujumbe wangu ni mfupi tu. Fanyeni mapitio kwa posho za Madiwani za kila mwezi kwani hali kwao ni mbaya sana,wao ndio wanakaa na Wananchi kila siku tofauti na Wabunge ambao wengine anaweza akamaliza hata miaka mitatu hajakanyaga...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Majipu matatu yatumbuliwa Halmashauri ya wilaya Kwimba

    Baraza La Madiwani La Halmashauri ya wilaya ya kwimba Jana liliwasimamisha baadhi ya watumishi wa Halmashauri hiyo. Waliosimamishwa ni: 1:Patrick Ndaba-Afisa manunuzi na ugavi (W) 2:Eng.Makongoro Igungu-Kaimu Mhandisi wa ujenzi na Zimamoto (W) 3.Nyabugumba Jonathan-Afisa usafi na Mazingira...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani kupandishiwa posho zao za mwisho wa mwezi.

    Hivi karibuni Mh Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania JPM alisema kwamba wale wote wanaopata mishahara mkubwa watatelemshwa ili kuwapandisha wanaopata mishahala midogo. Kwa maamuzi yake hayo tunategeme wale wote wanaopata mishahara midogo watapandishiwa wakiwemo waheshimiwa Madiwani ambao...
Back
Top Bottom