mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 36
Hivi karibuni Mh Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania JPM alisema kwamba wale wote wanaopata mishahara mkubwa watatelemshwa ili kuwapandisha wanaopata mishahala midogo.
Kwa maamuzi yake hayo tunategeme wale wote wanaopata mishahara midogo watapandishiwa wakiwemo waheshimiwa Madiwani ambao wanapata posho ya sh350,000 kwa mwezi.
Kwa maamuzi yake hayo tunategeme wale wote wanaopata mishahara midogo watapandishiwa wakiwemo waheshimiwa Madiwani ambao wanapata posho ya sh350,000 kwa mwezi.