Majipu matatu yatumbuliwa Halmashauri ya wilaya Kwimba

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
125
36
Baraza La Madiwani La Halmashauri ya wilaya ya kwimba Jana liliwasimamisha baadhi ya watumishi wa Halmashauri hiyo.

Waliosimamishwa ni:

1:patrick Ndaba-Afisa manunuzi na ugavi (W)
2:Eng.Makongoro Igungu-Kaimu Mhandisi wa ujenzi na Zimamoto (W)

3.Nyabugumba Jonathan-Afisa usafi na Mazingira (W).

kosa kubwa lililosababisha kusimamishwa kwao ni ubadhirifu mkubwa wa fedha.

Baada ya hapo kamati ya Waheshimiwa Madiwani wanne iliundwa kwa ajiri ya kuchunguza jambo hilo mala moja,wanakamati hao ni:

1.Wilbert Mandago Diwani kata ya Mwang'halanga (CHADEMA).Katibu Chadema (W) Kwimba
2 Majaliwa Mbasa-(CCM)

3 Shija Malando -Diwani kata ya Hungumalwa (CCM)
4 Zephania Masangu-Diwani kata ya Bugando (CCM)
 
Hii taarifa imekaa kiujumla sana. Ingekuwa vema ukatueleza uhusika wa kila mtu katika hili sakata
 
Back
Top Bottom