mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 36
Kwanza poleni na shughuri za kila siku za ujenzi wa Taifa letu.
Ujumbe wangu ni mfupi tu.
Fanyeni mapitio kwa posho za Madiwani za kila mwezi kwani hali kwao ni mbaya sana,wao ndio wanakaa na Wananchi kila siku tofauti na Wabunge ambao wengine anaweza akamaliza hata miaka mitatu hajakanyaga Jimboni,lakini Diwani yupo kila siku na wananchi.
posho yake ya mwezi inzidiwa na posho ya mbunge ya siku.Ni hatari sana.
Kama suala la kuongeza posho litashindikana mruhusu madiwani wakope kwenye bank kwa posho hao hao yote iliyobaki kama kipindi cha nyuma walivyokuwa wanafanya. Hii ni kwa sababu gani,posho inayobaki ya Diwani baada ya kuchukua mkopo kutokana waraka wa Tamisemi wa 68% Huwa hazilipwi na Halmashauri kwa @ mwezi,inaweza ikapita hata miezi Sita hawajaweka hela,na wakishashaweka wanaweka ya mwezi mmoja tu ambayo ni laki moja tu.
Yani Diwani anakaa miezi Sita anakuja kupata posho ya mwezi mmoja- This is not fare.Pitiene upya posho hizi.
Mh Rais alisema aliyeko juu atashushwa chini na aliyeju atapandishwa,tunaomba sana Rais aliangalie hili.
Mwenyekiti wa ALAT TAIFA Pamoja na wajumbe wako nadhani mtakuwa na kikao hivi karibuni teteeni sana hili suala.