mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 37
Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Malya Wilaya ya kwimba Jimbo la Sumve ,CCM Wanahaha kupata mgombea baada ya Jana chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumpitisha mgombea wake.
Chama cha mapinduzi kilitangulia kupata mgombea wake siku tatu zilizopita,lakini baada ya Jana chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) kumpitisha mgombea wao, CCM wameanza mchakato mpya wa kumpata mgombea wao.
Leo Magari ya CCM yamesombana Malya kwa kazi Maalumu na mpaka sasa wanahaha ni nani wamuweke ili aweze kuiweza kasi ya mgombea wa Chadema ,wako wilyani kwenye kikao.
Mh Mandago,Diwani/ Afisa wa Bunge na Halmashauri Kanda ya Ziwa/Katibu wa chadema (W) Kwimba.0782270412/0759317758.
[HASHTAG]#Nitawagaragaza[/HASHTAG] never ever#
#TunamtakaBenAkiwaHai#