Tatzo letu kubwa sana watu wa mjini tunafanya vitu kwa mkumbo. Mara vitunguu, mara product (sabuni) mara tikiti, mara matango, nyanyachungu etc.
Wapo watu maisha yao wanayaendesha kwa tikiti na huwez kuwaambia kitu.
Yapo mambo mengi ikiwemo uzoefu ktk kilimo cha japo zao moja.
Sasa wengi wetu...
1. Tangu awali walikataa sasa wanakubali, wew hujiulizi kwanin hivi?.
2. Jeshi linatumikamkusafirisha korosho, sasa ulitaka serikali ikodi magari na jeshi la wananchi lipo linaweza kufanya hyo kazi?.
Wafanyabiashara wana mbinu nyingi sana, walikuwa wanapima maji, hili liwe fundosho next days...
Uzoefu wa kuongeza hyo 800 unayoizungumzia umetoka wap sasa?.
Haya mambo hufanyika kwa utafiti, wakulima washaanza kufurahi huko kusini, si tunabwabwanya tu hapa.
Kwa mtazamo wako unaona ni vyema wafanyabiashara kuwabana wakulima kwa kigezo cha joja yako kwmb rais anatumia ubabe kuingilia wafanyabiashara?.
Je wew ungekuwa mkulima wa korosho, ungeona sawa kabisa kuuza korosho yako kwa Tsh1,000 badala ya bei elekezi Tsh 3000.
Je ulitaka serikali itumie...
WAPINZANI WA JPM.
Naona watu weng wanapinga huu uongoz na wengi wao ni wasomi lakn wasio wazalendo.
Hili silishangai coz hata majira ya JK waliongea mengi huku wakimsifia JPM pindi waziri wa ujenz na uvuvi, lakn licha ya kumwita JK dhaifu pia waliona wafanyakaz wanabebwa coz hakukuwa na...
Hata kama Mbatia hajafuata kwa maana ya kubadili chama lakn tunaona.
1. Ubunge wake kateuliwa na Rais.
2. Cheche alizonazo pindi ile ni tofaut na sasa.
Kwa kifupi ametoka kifikra lakn kimwili anatambulika bado yupo kwny chama chake.
JPM kagusa maslahi ya wezi wengi sana. Enzi za JK hatukuona kabisa viongozi wa dini kushindana na serikali, na kama ilikuwepo basi ni kidogo sana.
Kimsingi tumebanwa kuiba na ndo mana tunaishia kelele tu coz njia zishabanwa mno.
Sasa Kakobe huyu alikuwa yeye na Full Gasp eti leo anapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.