Ndugu yangu hapa maswali ni mengi sana kuliko majibu, ila hawa ndugu zetu wengine wanajaribu kusimplify hii issue na kuona kama ni jambo dogo sana, ila integrity ya mtu hupimwa kwa mambo mengi sana. Wengine wanaona Mil 20 kamakidogo ukilinganisha na mabilion ya EPA, Meremeta na hata za Uswiss...