Recent content by Manager A

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Chama hakiwezi kukasimu nafasi ya kugombea Urais

    mwambieni Warioba umasikini sio sifa na wala utajiri sio laana,ajitume naye aweza kuwa tajiri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    sasa tumechoka na huyu Slaa kuongea uongo hasa akiwa peke yake,naombeni uwekwe mdahalo kati yake na Lissu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lissu, Mnyika, Lema na wenzao 'wamepotea'

    usihangaike hao washashinda mapema sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    mleta mada ana matatizo makubwa,hao wanachama wote wa CHASO wanapatikanaje wakati vyuo vimefunga,au unaongelea CHASO gan,Utter Nonsense
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatukuwa rais kwasababu

    Lowasa is the next president,huna hoja ni wivu tu unakusumbua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kampeni ya CCM kuongea na wanahabari kupinga kauli ya Jaji Lubuva kutoa matokeo vituoni

    mbona haeleweki anaongelea nini,mara vurugu,mara Ukawa kuahirisha mikutano mara Lowasa,shame on him
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    kama kweli wewe unampenda Slaa na kumuamini muunge mkono katika kuachana na siasa,hizi porojo hazitawasaidia,poor CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Watanzania wamekata tamaa

    Hana jipya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    huna hadhi ya kushauri watu wa Mbeya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo awaponda wanasiasa, wasomi wanaoponda tafiti

    katika wasomi Kitila Mkumbo simuhebu kabisa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    hilo swali muulize yule mgombea anaedhani atafanikiwa kwa kuhutubia kwa lugha ya kabila lake
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

    Lowasa atawatoa damu mwaka huu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    CCM wamekosa watu wa kuwasaidia
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    Mleta mada acha unafiki ongea tu yaliyo moyoi mwako acha kuzunguka,poor CCM
  15. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Hakika sijawahi kuona Shekhe wa hovyo kama huyu hadi kichefuchefu
Back
Top Bottom