Recent content by Man tofa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa Viongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Wafikishwa mahakamani

    Wataje kwa majina ama vyeo vyao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unaua Uchumi wa nchi makusudi au ni sabotage?

    mhuuu! nalinda ugali wangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi

    Mimi ni HRO II niko Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tanga ninatafuta mtu wa kubadilishana nae katia mojawapo ya mikoa ifuatayo Iringa, Dodoma, Morogoro na mwanza namba zangu za simu ni 0712203180,0769890903 na 0686200597 hii na mara tu mhe. Rais John Magufuli akiruhusu taasisi husika Tamisemi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya uhamisho

    KIONGOZI HII NI KWA BAADAE NAANDAA MAZINGIRA IWAPO WATARUHUSU HILO NALIJUA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya uhamisho

    Mimi ni Afisa Utumimishi II niko katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tanga Natafuta mtu wa kubadilishana nae katika mojawapo ya Mikoa ya Iringa, Morogoro na Dodoma mawasiliano yangu ni 0712203180, 0769890903,AU 0686200597
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Ngwatta arejea ulingoni

    naomba utaje majina ya ngwata yote kama ni jamaa tulisoma naye
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    du inasikitisha kuona hvo kwan kuna uwezekano kabsa watu wachache washakaa na kuamua hatima ya wananch kwa hal hii tujiulze ni wananch au magamba wanaweza kuleta machafuko mhuu!???????? hatar hii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua Line M-pesa, Airtel money, na Tigo pesa

    Wadau, Nahitaji kununua Line tajwa hapo juu. Naomba aliye nazo ataje na gharama niko Tanga.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nataka kununua Toyo kwa ajili ya mizigo, je italipa?

    Nina wazo la kununua Toyo kwa ajili ya kuchukulia mizigo. Je, kinalipa hasa kwa maeneo yenye masoko. Asanteni wadau
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujasiri ndio utajiri wako

    nimeipenda ni kweli mkuu hata kulala ni risk
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kuwa wakala wa Benki, nifanyeje?

    ninahtaji niwe wakala wa benk ya nbc lushoto je taratibu za kuwa wakara na sifa ni zipi naomba ufafanuz kwa anayefahamu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu duka la dawa baridi

    tafadhal wadau naomba kujua ni gharama kiasi gani kama ukitaka kufungua duka la kawaida la dawa baridi ahsante
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufungua duka la dawa

    naomba kuuliza hasa kwa wale wenye uelewa wa kuuza duka la dawa ni kiasi gan kwa duka la standard kama unataka kufungua pia unapitia mchakato gani mpaka kupata kibali naomben msaada wa mawazo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipi cha kuzingatia katika biashara?

    Naomba kupata ufafanuzi mzuri wadau, sijawahi kufanya biashara. Napenda kuuliza, ni mambo yapi ya kuzingatia na kuchukua ukianzisha biashara yoyote?
Back
Top Bottom