Recent content by Man Rody

  1. Man Rody

    Naomba msaada wa biashara ya kufanya

    Kama mjini matunda, mtaani kwako nyanya na mbogamboga, zingatia eneo lako mkuu ndo uamue na angalia uhitaji kama uko karibu na shule ata visheti, mihogo, ubuyu kamtaji kakikua wakaangie dagaa na samaki Kila la kher
  2. Man Rody

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Utanitumia kwa hîi Airtel 06935083495 j'ina linakuja SIFA MBOYA.
  3. Man Rody

    Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Lengo ndoa au zinaa? Usije kua tunakufundisha mbinu za kukunyugwa tugawane asilimia za dhambi ya uzinifu, raha upate wewe na njemba yako percent nile mimi ya mzigo wa dhambi EAZY DUZ IT
  4. Man Rody

    Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

    Nina recomend story zote za 1. Lara 1, sister anajua just phenomenal 2. Steve Mollel, anajua mnoo utafikiri jini 3. Analyse, very intelligent fella king of suspense... 4. Pia Tech and gadgets nmejifunza mengi ile page 5. Kwa anetaka kwenda nje ye nchi kuna nyuzi A B C kibao zimetolewa Watu...
  5. Man Rody

    Weka Picha kali toka kwa simu yako

    Tutakua tunaenda kumuona huko kwenye makazi yake mapya aisee kwa sasa tu stick na faza kwanza hadi ajipate 😂
  6. Man Rody

    Ulizingatia nini na kujiridhisha mpaka ukaamua kufunga nae ndoa?

    Ila umemaliza ki vayolensi mkuu 😂😂 hujui hao ndo majority voters humu? Kuna comment nishawahi soma eti "mtu mwenye mume huwezi mkuta mitaa ya j.f usiku wa manane (wanajiita walinzi 😂), asubuhi, mchana na jioni anarandaa" pipo zina gubuu.
  7. Man Rody

    Ulizingatia nini na kujiridhisha mpaka ukaamua kufunga nae ndoa?

    Mzigo shekh, niliangalia mziiigo.. (In Sheh Kipozeo voice) 😁 jokes God fearing Woman = God fearing kids
  8. Man Rody

    Nashindwa kumpata, nampenda sana. Nifanyaje ili anielewe??

    Mada za hivi hua zinanifanya nijione mzee sana Na mimi sio mzee, under 20 watengezewe forum yao tu
  9. Man Rody

    Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Long distance haifai kabisa labda kwa ma senior
  10. Man Rody

    Mguu wa chid benz mbona hauponi?

    Dar es Salaam Stand Up Chid standup bro Long time coming
  11. Man Rody

    Ewe mwanamke ukiona U.T.I hazikuishi tafakari mapema ratiba yako ya tendo na mwenza wako

    Bora UTI kuliko Grid ya Taifa, bora grid kuliko cancer, bora cancer kuliko ukutwe na mke wa mtu.. hadi apo unanimanya tunaenda sawa?
  12. Man Rody

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Unaendesha malori semi trailer?
  13. Man Rody

    Nataka kujenga

    kwa hali ya maisha ilivo bila shaka tokea umeandika mada hadi waleo ushatumia sehemu ya hela ya ghorofa Usipoweka ata msingi utaila hela yote by july
Back
Top Bottom