Recent content by man pog

  1. man pog

    Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    Ni kwa sababu binadam alipewa ukubwa hapa duniani yani yeye ndo mwenye kuimiliki dunia na uyo shetani kosa alolifanya Ni kukataa kumsujudia binadam na hao maasimu wawili ambaye Ni mungu na shetani walikubaliana ya kwamba yoyote atakae mfuata shetani basi na yeye atapata adhabu sawa na uyo...
  2. man pog

    Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

    Fanya mpango tumroge Samia anatuzingua tuu
  3. man pog

    Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

    Duu dunia ina magonjwa mengine ya hatari na kustaajabisha Sana sio utani mtaani kwetu kulikuwa na jamaa Fulani ivi nae alikuwa na ugonjwa wa kutopata choo na jamaa alikufa we fikiria unakula miezi 2 na haunyi noma xanaa
  4. man pog

    Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Kama unatuma smart phone ingia google store kuna application inaitwa TERTROID
  5. man pog

    Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Daah nakumbuka mbali sana!! zamani chiga niliiona Atari Sana na wanaovuta pia niliwaona watu wa ajabu Ila ndo Ivo same time stress zinatufanya tufanye tusivyotegemea kabisa kufanya. Nakumbuka sigara ya Kwanza kutumia ilikuwa embassy click ila sasa ivi nimekuwa gari Moshi nawasha Kila ubalozi na...
  6. man pog

    Young Lunya kusainiwa Sony

    Hivi mnaonaje kuhusu huyu mwamba Young Lunya kusainiwa Sony music Africa kunaweza kuwa na faida kwake au ndo amepoteza maana kwa kumbukumbu za haraka haraka ni kwamba wasanii wengi wa Tanzania walio sainiwa na label hiyo wengi wamepotea mfano Baraka da prince, Vanessa Mdee, Ommy Dimopzi...
  7. man pog

    Hivi Hayati Magufuli alikosaje akili ya kutengeneza kitu cha maana kama Royal Tour?

    Sasa Kuna faida gani ya kufanya hiyo royal tour ikiwa ata aeleweki anaitaji Nini, Leo nimefadhaika Sana nilipoiona taarifa kutoka bbs Swahili ikisema wanyama Sasa ni ruksa kuuzwa na kusafiliswa nchi za kigeni,Sasa kwa akili yako unategemea Nini hao watalii anaowaita watakuja kuona Nini baada ya...
  8. man pog

    Maoni yangu kwa album ya Harmonize (High School)

    Mimi ni chizi muziki napenda kila aina ya muziki najua mziki mzuri na mbaya. Tukianza na ushabiki mimi ni timu Diamond Yani Simba namkubali kindaki ndaki ata akifanyaga upuuzi huwa naona sawa tu. Ila niwe mkweli tuu leo nimesikiliza album ya Harmonize aisee huyu jamaa ni noma katika nyimbo 17...
  9. man pog

    Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

    Kiuhalisia kabisa hiyo si nchi kabisa kama inavyotajwa. Ni kama nchi ya kufikirika ata uki gugo map sasa ivi ukaweka ramani yote ya dunia. Unaweza kuona kila sehemu kila nchi na mipaka yake ila uwezi kuiona Vatican kama nchi sana sana utaambulia kuiona Vatican city katikati mwa nchi ya Italy...
  10. man pog

    Ni wakati sasa Twaha Kiduku azichape na Mwakinyo

    .Tukiacha ushabiki maandazi, kwangu mimi sizani kama mawazo yako yatakuwa sahihi. Ninachojaribu kusema ni kuwa hao unaowajalibu kuwafananisha ni watu wawili tofauti. Sawa wote ni mabondia wazuri lakini wamepishana pakubwa. Sijawai kufuatilia sana Michezo ya ngumi ila ninachokifahamu mimi Huyo...
  11. man pog

    Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Inashangangaza ila inabidi nikuvumilie kwa sababu kwenye mijadala lazima wawepo watu kama nyie, kazi yetu apa nikuelimishana tuu Haimaanishi kila atakaye ujumu uchumi basi stahiki yake ni bakora la hasha, nimesemea kwa kosa walilolifanya hao wafanya biashara kuchara bakora ni sawa kabisa sababu...
  12. man pog

    Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Athante rafiki kwa kuliona hilo, tuombe mungu na ikawe kweli
  13. man pog

    Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Kwangu mimi naona sawa kabisa hao wanaojiita wafanya biashara kucharazwa viboko. Tanzania haiitaji wafanya biashara wa style hii, anamfundisha mwanafunzi jinsi ya kuaribu Mali za umma. hii ni sawa na kuujumu uchumi kwa maana serikali inakuja kuingia galama. Kuna mfano: juzi baada ya kuja kwa...
  14. man pog

    Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

    Kama kweli kenya ilimwaga damu na kujitapa kuwa mlipata Uhuru kwa kupigana mbona kuna mkanganyiko?? maana mimi naona hao (watanzania) mnaowaita ni lele mama walipata Uhuru kwa kupewa iweje wawe na kauli za kishujaa kwa hao waliowapa Uhuru bure, kuliko nyie ambao mnajiita mashujaa mlio mwaga damu...
Back
Top Bottom