Recent content by man of steel

  1. man of steel

    JamiiForums Tanzania Mnaokosoa kolabo ya Diamond & Koffi msome HAPA

    Kidumu chama cha mapinduzi
  2. man of steel

    JamiiForums Tanzania Clouds Media imepoteza mvuto

    Mabifu yao ya kijinga na wasanii ndio imewaua, mathalani diamond platinums na crew yake.
  3. man of steel

    JamiiForums Tanzania Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

    Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya Tano, chini ya uongozi wa mheshimiwa Magufuli.
  4. man of steel

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

    Ndio tunataka muingie mitaani msiishie kuandika tuu hapa, saa hivi ni 0705 asubuhi ndio tarehe ya kwanza ya kuanza maandamano yasikua na ukomo tumeweka bando tunasubiri picha za events.
  5. man of steel

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

    Sikwaziki ila nataka kuona hizi kelele mnapiga hapa zifanyike kwa matendo tuyaone kweli hayo maandamano ya Amani isije kuwa kama ya Mange Kimambi.
  6. man of steel

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

    Maneno yanakua mengi sana, leo ni tarehe 2/11/2020 na saa hivi ni 12:27 asubuhi tunasubiri kuona maandamano sio mnakua wanaharakati nyuma ya kibodi tu.
  7. man of steel

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amsifia Kusaga

    Mchovu to wasafi...??
  8. man of steel

    JamiiForums Tanzania Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

    Inahitaji miujiza kwa mtu mwenye uandishi wa namna hii kununua ticket ya 5Mil.
  9. man of steel

    JamiiForums Tanzania Diamond the G.O.A.T awagaragaza Davido, Wizkid na Burna Boy kwa mapato YouTube

    Umekula lakini...?
  10. man of steel

    JamiiForums Tanzania WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

    Producer s2kyzzy sijui zombie Sent using Jamii Forums mobile app
  11. man of steel

    JamiiForums Tanzania Collaboration hizi zikitokea

    Fid Q ft John Makini Sent using Jamii Forums mobile app
  12. man of steel

    JamiiForums Tanzania Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

    Sent using Jamii Forums mobile app
  13. man of steel

    JamiiForums Tanzania Maisha yanavyoenda kasi sana Alikiba / Harmonize / Diamond

    Diamond kumtambulisha ZUCHU ZUCHU
Back
Top Bottom