Recent content by man of principal

  1. M

    Maswali magumu kwa Edward Ngoyai Lowassa

    Ningechangia lkn Mods huwa hawaonyeshi commends zangu, licha ya kulilalamikia hilo mara kwa mara, that is why I decided to remain only the reader.
  2. M

    Unapomsafisha Lowassa wasafishe na hawa

    Hivi mnasahau kuwa kumsema sana mtu ni kumpa umaarufu? km ndivyo, sasa hamuoni kuwa mnampa huyo Lowasa umaarufu kwa kumtaja taja sn kila jua linapochomoza na kila linapokuchwa?
  3. M

    Makinda kama kawaida yake kuiokoa CCM

    Ndg, nini hasa ulichotaka kukielezea? mbona maelezo yako hayaeleweki? Hebu jaribu kutulia ndipo uandike ili ueleweke.
  4. M

    Lowassa na maamuzi magumu Monduli

    Unakoseaga lkn kosa la leo limezidi kipimo. Labda utuchambulie km umemtusi Lowasa kama kuwa ni mpumbavu km yeye binafsi, au umemtusi "mpumbavu" km mmasai. Na km umemtusi km yy, ss ni kwanini uunganishe upumbavu wake na umasai wake?
  5. M

    Rais anaogopa maamuzi magumu ndiyo maana safari kila kukicha

    Mleta mada, ina maana wewe hukumbuki kuwa rais wetu alikuwaga Waziri wa mambo ya nje? Kwahiyo bado hajayasahau yaliyokuwa majukumu yake aliyokuwa akiyatekeleza.
  6. M

    Namhurumia Rais Kikwete,anaumiza kichwa,yupo njia panda!

    Kwa hakika mleta mada umesomeka. ume-hit point. kwa yeyote ambae hakukuelewa, basi atakuwa haelewi hata akieleweshwa. Yatosha tu kusema, ambae bado hajafahamu ulichoandika, asubiri muda umueleweshe.
  7. M

    Nimesikia la Nchimbi,Muhongo.Vipi la Lowassa,Karamagi na Richmond?

    Naskitika sn kuwa nili-comment kwenye hii thread lkn hoja zangu sizioni. kwahiyo nimeonelea acha mm niwe msomaji tu, hasa nikizingatia kuwa siyo comment yangu ya kwanza kutowekwa.
  8. M

    Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Watuhumiwa hao kusafishwa ni sawa. Lkn mbona wengine waliowajibika kwa kujiuzulu kama aliekuwa Waziri mkuu Edward Lowasa nao hawakusafishwa wala kuundiwa tume ya kuchunguza tuhuma zao? Lkn pia, mbona hao watuhumiwa wa escrow wamesafishwa haraka kuliko hao wa tokomeza ujangili kulikoni? Km...
  9. M

    Lema anatumia nguvu kubwa kuitisha mkutano leo tofauti na zamani kwanini?

    Kiukweli kwa sasa lema hana tena ule mvuto wa awali. na hata km atashinda uchaguzi, siyo kwa kiwango alichoshindia 2010, na zipo sababu nyingi tu, zikiwemo ahadi za uongo alizowahi kuwaahidi wanaarusha kuwa atawaletea ambulance, na yy aliwahi kutamka majukwaani kuwa alizipata ambulance 2...
  10. M

    Godbless Lema: Kuna vichaa wengi mitaani

    Kwa hiyo unataka kumaanisha nini? Ukabila hapa umekujaje? Au unataka kusema lema alipitishwa na wachaga? Hivi unataka kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama cha kikabila?
  11. M

    Mgombea mtarajiwa Nyaronyo Kichere wa Tungi Kigamboni amepotea

    samahani sn Bw. assadsyria3, na ninashukuru kwa kunisahihisha.
  12. M

    Mgombea mtarajiwa Nyaronyo Kichere wa Tungi Kigamboni amepotea

    assadsyria3! mbona umetegwa ukategeka? Umesema wanakigamboni hawana udini, lkn wakati huo huo unazungumzia mambo ya kuongeza nguvu itakayokwenda kuwasaidia kuipata mahakama ya kadhi, na kujiunga na oic. sasa huoni kuwa umeyathibitisha hayo yaliyosemwa na Bw. Kicheere kuwa safari hii...
  13. M

    GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Sasa kinachowasha ni nini? Kukatwa kwa jina la Lowasa? Kwani mmesahau kuwa mtoto wa rais alishasema kuwa rais wa nchi hii hataweza kutokea kanda ya Kaskazini? Kwani tangu alipoitoa kauli hiyo akiwa uvccm iliwahi kukanushwa na mtu yeyote ndani ya uvccm au wa ndani ya ccm? So kutopitishwa kwa jina...
  14. M

    Waislam tumefeli kwenye hili tu, tubadilike

    Bongolala! hayo uliyoyasema ya ukweli? hiyo ni sheria ipi, na imetungwa mwaka gani, na katika bunge lipi, na ni nani alieupeleka muswada huo bungeni? Hivi, hawa ma-Drs na ma-Prof. wa kiislam tulionao hapa nchini walisomea nchi gani? Inamaana sheria hiyo unayoisema haikuwahusu, na ni kwanini...
  15. M

    Waislam tumefeli kwenye hili tu, tubadilike

    By EXPULSION Hapo umenena, Ninaamini kama wakusikia, watakuwa wamekusikia, na km wakuelewa watakuwa wamekuelewa.
Back
Top Bottom