mama isidingo
Member
- Feb 3, 2014
- 36
- 3
lema,sugu,mdee,mnyika,wenje hawaludi bungeni hakuna walichokifanya hata robo
Iliwahi kufanyika sensa?.Wakazi wa Arusha na Makabila yao.
1. Wamasai pure- 15%
2. Waarusha- 20%
3. Wameru- 10
4. Wachaga- 20
5. Wairaqw- 15
6. Wengine- 20%
Walete ukabila waone!
Miongoni mwa vitu ninavyovipenda humu jf, ni ukweli na wasema kweli, hapa Lema amesema kweli kabisa kuhusu Arusha kwa sababu mimi mwenyewe, nilihudhuria kampeni zake!."… kwani najua hawawezi kushindana na chama changu wala mimi hata kidogo kuna vichaa wengi mitaani," alisema Lema
Wakazi wa Arusha na Makabila yao.
1. Wamasai pure- 15%
2. Waarusha- 20%
3. Wameru- 10
4. Wachaga- 20
5. Wairaqw- 15
6. Wengine- 20%
Walete ukabila waone!
Kwa hiyo unataka kumaanisha nini? Ukabila hapa umekujaje? Au unataka kusema lema alipitishwa na wachaga? Hivi unataka kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama cha kikabila?
mama bora uendelee kurekodi sinema tu .lema,sugu,mdee,mnyika,wenje hawaludi bungeni hakuna walichokifanya hata robo
Lema lazima tumuondoe Arusha, Hadhi ya Jiji la Arusha imepotea kabisa
Nina uhakika 100% Lema harudi bungeni, Arusha tumemchoka sana
Nakaa Arusha hapa Sakina
Hatakama ni chadema sana sio hivo mkuu . Nadhan kwa arusha lema inatosha halafu anatuita vichaa baada ya kuwa mbuge wew unaona Sawa tu
Sitampa Lema kura yangu, namuona ni bonge la kilaza. Arusha tunahitaji mtu mwenye visio. Leo hii kusema Rashid Shebert ni sehemu ya vichaa waliopko mtaani ni kujimaliza. anapaswa kukumbuka Rashid alijitoa kwa ajili yake kuanzia mitaaani, vijiwe vya kahawa hasa Soko kuu, Kilombero na kwingineko kuweka hamasa ya yeye kuchaguliwa. wako watu ambao sura zao hazipaswi kuwekwa nyuma. ok, amalize miezi yake mitano iliyobaki akapumzike zake njiro.