Gunia 30 mpaka 40 sio mchezo, hongera.
Kwenye upandaji unatumia vipimo vipi? 20x20 ama 25x25? Pia upande wa palizi mnapiga mara ngapi? Mnang'olea na mikono na vijembe ama mnatumia vile vipalizi vya chuma vya kusukuma? Na mwisho kabisa miche unatayarisha kitalu au mnapanda moja kwa moja na...
Hakuna mtu aliyejitoa kama wewe kuelimisha kwenye hili jukwaa hilo halina ubishi. Umekuwa sio mchoyo wa elimu na kujaribu kusanua watu hilo linathibitishwa na idadi ya mada ulizoanzisha hapa kwa miaka mingi tu. Binafsi nakukubali na nimejifunza mengi tu kupita kwako.
Wakulima tumekuelewa na...
Hicho kinaitwa "Kiduku" kukitoa ni kutafuta fundi mzuri. Kilinitesa kwenye Rav4 nilibadilisha mount zote, shaft mpaka gearbox lakini wapi nikaamua niishi nacho tu. Ukibeba mtu anaweza stuka na hicho kishindo akajua labda mmegonga jiwe. Miaka mingi imepita sasa nadhani kutakuwa na ufahamu au...
Kaka ambaye ni miongoni mwa wachoraji wakubwa nchini na uliyejifunza uchoraji kwa siku mbili tu mbali na hongera zangu kwako. 🙏🏾Tupia hapa kazi kadhaa ulizochora ili kutuInspire sie tunaopambana kujifunza kuchora kwa miaka kenda bila mafanikio.
Kama mfuatiliaji wa Hiphop Mteganda is a legend by himself. Huyu ni era ya 2005 - to current.. Nash Mc, P Mawenge, KingZilla(RIP), One, Niki Mbishi na wengineo wengi wameShare kinasa na jukwaa na Mteganda toka enzi za WAPI mpaka Kilingeni pale Msasani.
Uko mkoa gani? Kama ni Pwani msimu wa maembe uliopita haukufanya vizuri sana kutokana na hali ya hewa na pia mlipuko wa nzi wa maembe wanaoshambulia maua na embe kwa ujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.