Mara kadhaa nimeona tangazo mtandaoni kwamba unaweza kuagiza cement kutoka kiwanda cha tajiri Dangonte mtwara kupitia app na kuletewa popote Tanzania ,mifuko kuanzia 20 kwa bei rafiki ya kiwandani. Je ni kweli au matapeli?
Mimi sio mndengereko natetea tu hoja.Makabila ndio yapo lakini ni yale yenye population ndogo Kilichowasaidia wachaga ni kuwahi kupata shule mapema hivyo kuwahi kupata connections serikalini na sekta binafsi na sio kwamba wako unique.
Sasa hivi Tanzania nzima vijijini nyumba nzuri zinajengwa...
Kwa sasa hayo yanafanywa na karibu kila mtanzania mwenye kipato sababu ya mwamko wa elimu upo kila mahali hapa TZ na sio suala la kabila fulani kwamba wao ndio wanapeleka watoto nje au private schools. Asilimia kubwa ni suala la kipato.
Kwa hiyo hakuna unique wowote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.