Recent content by Man cityy

  1. Man cityy

    Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    Aaaaa usitake kusema watu wa mwanza ndio wanalala matakroooooo wazi😅😅😅😅😅
  2. Man cityy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mdogo mdogo tren linaenda
  3. Man cityy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dortmund anajitafuta huku
  4. Man cityy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Au aende mechi ya simba na wydad aeke correct score 3 3 kisha aeke hiyo hela na ikiwezekan akupe na nyengine kwa jirani
  5. Man cityy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa kwenye simba kidogo pana nataka stak
  6. Man cityy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahhhh mwanangu usipime mimi siku hizi unaishi sana na ov 0.5 tena betpawa hiyo option inatoa sana tena sio ya kuzarauliwa
  7. Man cityy

    Watoto wa kishua wepesi sana, hawana kona kona

    Huku hujaitwa ukiona hakukufai nenda majukwaa ya vita vya urusi au siasa Usitukane mtu na #tuache
  8. Man cityy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nawaona mnapigwa tu
  9. Man cityy

    Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

    Kwa muonekano wa njee hakuna tatizo ila ukiangalia indeep kama kuna shida hivi kwanza pitia maelezo yake mara mbili mbili ya huo ujumbe utagundua hali haipo sawa kwanini asisitize usalama kwani mtaa anaoenda una mapigano na kama hakuna usalama kwanini aende na kama lengo ni kuonana na mama...
  10. Man cityy

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hahahahah ni mwendo wa kufurahi tu mashabiki City
  11. Man cityy

    Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

    Hizo ni fikra potofu mana huo mchezo upo popote duniani inategemea binti mwenyewe akilegeza wanamlegeza Pia maadili na malezi ya mabinti yanachangia kidumu kwenye ndoa mana wanarizika na kuvumilia
Back
Top Bottom