Recent content by mamu-72

  1. M

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Tatizo unaubinafsi hujitambui
  2. M

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Hakika watanzania hatujijui kwani yanga ingeshinda ingekuwa heshima kwa tanzania siyo kwa yanga tu,tubadilike chuki za ndani zibakie ndani tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majangili yakamatwa Nanyumbu, dereva wa Mh. Hawa Ghasia abambwa

    Na alikuw akiendesha gari ni dereva si hawa tumia busara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majangili yakamatwa Nanyumbu, dereva wa Mh. Hawa Ghasia abambwa

    Usijaji shungi muhukumu mtu na tabia yake,siyo wote wavaa shungi ni watu wabayA,Tumia busara
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unapoisema vibaya CHADEMA Unampendeza nani.....?

    Chadema jipangeni vizuri mambo mazuri hayataki haraka,mungu amesema busara na subira ndo ngozo na njia njema hebu timieni busara na hrkima zaidi,matusi ni uongofu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lema apigwa na kuumizwa vibaya na polisi

    Hakika usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio,kama lema ni kweli msifurahie kwa sababu siku ya kupigwa wewe unayefurahia,utasema unaonewa,tafakari kabla hujashabikia usichokijua.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM ondoeni kambi zilizopo ndani ya chama

    Hilo ni tatizo ndani ya ccm mkoa wa Arusha
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM ondoeni kambi zilizopo ndani ya chama

    Sababu kubwa inayopelekea chama kushindwa katika uchaguzi ni mgawanyiko ulioko ndani ya chama,chama sikibaya ila viongozi jipangeni acheni chuki mnaharibu chama.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Ally mkali huyu si mpare huyu ni mzigua mti mwenye maadili na msimamo na hofu ya mungu,ni majina tu yamefanana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Ndiyo mimi nI dada yake nanilikuwa naye mpaka mwisho wa kampeni nikitu kisichowrzekana Ally Mkali kuingia chadema,hakika hizo ni ndoto,achaneni nao na maneno yao ya uzushi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Wanasombetini msirubuniwe hayo ni maneno ya uzushi tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Hakuna ukweli wananchi wa sombetini Ally Mkali ni CUF maiwasikilize hayo ni maneno tu nayatabaki kuwa ni maneno tu,mpigie kura mgombea wa cuf
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Hakuna ukweli wowote kawenye maneno ya chadema
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Kaeni mjipange tena huo uzshi wenu hauna maana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CUF Sombetini Ndg Ally Mkali ajiungacna CHADEMA usiku huu

    Mnashindwa kufanya kazi mmekalia majungu haitakaa itokee Ally Mkali kuwa chadema
Back
Top Bottom