CCM ondoeni kambi zilizopo ndani ya chama

CCM ondoeni kambi zilizopo ndani ya chama

mamu-72

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Sababu kubwa inayopelekea chama kushindwa katika uchaguzi ni mgawanyiko ulioko ndani ya chama,chama sikibaya ila viongozi jipangeni acheni chuki mnaharibu chama.
 
Unailenga chadema au ccm mbona hueleweki wapi ccm wameshindwa mkuu.
 
Back
Top Bottom