Unapoisema vibaya CHADEMA Unampendeza nani.....?

Unapoisema vibaya CHADEMA Unampendeza nani.....?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
Naamini kila mtanzania anapenda tanzania ingale na ukweli haiwezi kungara kupitia ccm.....sasa wewe mtanzania unayependa tz ingare unapokaa na kuiponda chadema kwamba imeshindwa unadhani kushindwa kwa chadema kunafaida kwako? unafanya nini kushirikiana na chadema kuitengeza tanzania unayoitaka.....?
 
"Bado nawasikitikia sana watanzania wanaolia na ugumu wa maisha lakini kila uchaguzi unapofika wanairudisha CCM madarakani. Kwa mwendo huu hakuna haja ya kuilaumu serikali kwa lolote.Tujilaumu wenyewe kwa utaahira wetu! Viongozi wa CDM wanatimiza wajibu wao barabara. Kazi inayobaki ni ya wananchi wenyewe kuamua. Ufukara wa watanzania na hasa vijijini unamwandama kila mtu bila kujali chama chake! Lakini kwa ushabiki wa kitaahira tunadhani kwamba wanaohangaika na ugumu wa maisha ni wana CDM. Poleni watanzania kwa utaahira!!!!" (Quotation from Mr. Haji Salum)
 
"Bado nawasikitikia sana
watanzania wanaolia na ugumu wa maisha lakini kila uchaguzi unapofika
wanairudisha CCM madarakani. Kwa mwendo huu hakuna haja ya kuilaumu
serikali kwa lolote.Tujilaumu wenyewe kwa utaahira wetu! Viongozi wa
CDM wanatimiza wajibu wao barabara. Kazi inayobaki ni ya wananchi
wenyewe kuamua. Ufukara wa watanzania na hasa vijijini unamwandama kila
mtu bila kujali chama chake! Lakini kwa ushabiki wa kitaahira
tunadhani kwamba wanaohangaika na ugumu wa maisha ni wana CDM. Poleni
watanzania kwa utaahira!!!!" (Quotation from Mr. Haji
Salum)

mwaka tutakaorogwa kuiingiza CDM madarakani amini usiamini ugumu wa maisha utaongezeka maradufu.
 
Inawezekana kuwa wengi wao wanaona CCM inafaa ndo maana wanairudisha madarakani kwanini mnataka Watanzania wote wawe Chadema ni kitu ambacho akiwezekani wachache wanaona ccm aifai wengi wao wanaona inafaa na vyama vingine pia hivyo hivyo lakini mwisho wa siku kura ni siri ya mtu Watanzania si mataahira kama unavyofikili wewe tena tuombe radhi ikiwezekana.
 
Naamini kila mtanzania anapenda tanzania ingale na ukweli haiwezi kungara kupitia ccm.....sasa wewe mtanzania unayependa tz ingare unapokaa na kuiponda chadema kwamba imeshindwa unadhani kushindwa kwa chadema kunafaida kwako? unafanya nini kushirikiana na chadema kuitengeza tanzania unayoitaka.....?
Mkuu kama CHADEMA ndio kibla yako basi umechagua mlima wa Babeli.
 
Naamini kila mtanzania anapenda tanzania ingale na ukweli haiwezi kungara kupitia ccm.....sasa wewe mtanzania unayependa tz ingare unapokaa na kuiponda chadema kwamba imeshindwa unadhani kushindwa kwa chadema kunafaida kwako? unafanya nini kushirikiana na chadema kuitengeza tanzania unayoitaka.....?

nawapendeza watz wapenda amani
 
Kwanza unafanya kosa kudhani unachoamini wewe ndio kiaminike na wote. Pili unarudia kosa wanalofanya chadema na wapinzani la kudhani kwamba wananchi ni wajinga wanaokubali kila ovu la ccm wanaloambiwa na chadema na wapinzani.

Chadema vijijini haina ofisi na wakati mwingine bendera zake ziko juu ya mti wowote kando ya barabara. Sasa mwananchi anajiuliza mengi juu ya chama hiki bila majibu. CCM ina ofisi katika ngazi mbalimbali na wananchi wamekuwa wakisilizwa matatizo yao kwenye ofisi hizo nyakati zote. Siku hizi ccm wanatoa rambirambi misibani huko vijijini. CCM amekuwa rafiki wa wanavijiji, chadema hajafanya hilo. Mwananchi sio mjinga anapoipigia kura ccm, anafaidika wakati wa msiba, vikoba, saccos, vimkopo vidogo vidogo, lakini juu ya yote ana ofisi kwenye eneo lake ambayo anaweza kwenda kutoa shida zake.

Ajabu chadema watakuja na chopa wakati wa uchaguzi, mwananchi anawashangaa. Atawasikiliza na mwisho wa siku atakwenda ccm kupata mkopo wa ada ya mtoto wake. 80% ya wapiga kura wa uhakika wako vijijini lakini chadema wako mijini ambako watu wa najuwa nini maana ya pipozi pawa, wapiga kura wa kijijini wao wanajali uwapo wa kitengo kinachosikiliza shida zao. Mtanzania anahitaji maisha bora lakini anayeweza kumpa maisha bora sio yule anayekuja kwenye kampeni tu.

Kingine kibaya ni pale chadema wapokesha majukwaani kusema mbaya ya ccm badala ya kuonyesha physical establishment walizowafanyia wananchi ili waaminike. Matokeo yake wanaonekana wa ovyo machoni mwa wapiga kura. Sio wananchi wenyewe safari ndefu bali wapinzani wenyewe.
 
Wewe unayejiita mgonjwa ukimwi unaujua vizuri huo ugonjwa au unabwabwaja tu na hapo umesaidiaje hata wale wanainchi wa kitongoji chako kujikomboA badala ya kukaa kwenye keyboard kulalama u wapinzani shenzi mkubwa wewe
 
Naamini kila mtanzania anapenda tanzania ingale na ukweli haiwezi kungara kupitia ccm.....sasa wewe mtanzania unayependa tz ingare unapokaa na kuiponda chadema kwamba imeshindwa unadhani kushindwa kwa chadema kunafaida kwako? unafanya nini kushirikiana na chadema kuitengeza tanzania unayoitaka.....?

Unampendeza Mungu
 
Chadema jipangeni vizuri mambo mazuri hayataki haraka,mungu amesema busara na subira ndo ngozo na njia njema hebu timieni busara na hrkima zaidi,matusi ni uongofu
 
Naamini kila mtanzania anapenda tanzania ingale na ukweli haiwezi kungara kupitia ccm.....sasa wewe mtanzania unayependa tz ingare unapokaa na kuiponda chadema kwamba imeshindwa unadhani kushindwa kwa chadema kunafaida kwako? unafanya nini kushirikiana na chadema kuitengeza tanzania unayoitaka.....?

Kukaa na kusubiri vyama vya siasa vikuletee maendeleo ni uvivu wa kufikiri.Amka toka usingizini kijana
 
Wewe unayejiita mgonjwa ukimwi unaujua vizuri huo ugonjwa au unabwabwaja tu na hapo umesaidiaje hata wale wanainchi wa kitongoji chako kujikomboA badala ya kukaa kwenye keyboard kulalama u wapinzani shenzi mkubwa wewe

Safi sana mojawapo ya sera zenu ni matusi. Hii nayo itawaghalimu sana .maana inaonyesha ni jinsi gani ustaarab ulivyo mbali nanyi.
 
Naamini kila mtanzania anapenda tanzania ingale na ukweli haiwezi KUNGARA kupitia ccm.....
Ni kweli kabisa Tanzania haiwez kungara kupitia CCM, bali ITANG'ARA kupitia CCM, hakika uko sahihi mkuu!
 
Back
Top Bottom