Recent content by mamsapu

  1. M

    Kiwanja kinauzwa mwanza

    Habari wana jf. Ninauza kiwanja ukubwa wa square metres 1200. Kipo nyegezi, malimbe karibu na st augustine university. Surveyed. Tsh mil 45.
  2. M

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Habari. Natafuta nyumba ya vyumba 3 ya kupanga. Iwe na ac. Mikocheni, mbezi beach na kaweupande wa chini. Budget laki 7.
  3. M

    Gavana wa BOT atangaza Serikali kuichukua na kuisimamia Benki ya Twiga Bancorp

    Waeleze. Business zote za fedha za kifisadi lazima zitayumba tu
  4. M

    Apartment au nyumba ya kupanga

    Wakuu natafuta nyumba au apartment ya 3 bedrooms. Iwe na Ac. Maeneo ya mikocheni A isivuke TMJ hospital kuelekea kawe, msasani, masaki, oysterbay. Note isiwe maeneo ya 'uswahilini'. Inbox pamoja na picha nione kwanza na jina la eneo. Budget tshs 1,000,000 tu.
  5. M

    CV ya James Mbatia na kelele zake kuhusu uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma

    Huyu jamaa hana isu. Wanaomjua huwa hawa hangaiki kusikiliza anayoongea.
  6. M

    Naomba ushauri kuhusu biashara itakayonifaa kati ya hizi

    Naomba kama hutajali nifafanulie mkuu.
  7. M

    Naomba ushauri kuhusu biashara itakayonifaa kati ya hizi

    Naomba kama hutajali nifafanulie mkuu.
  8. M

    Naomba ushauri kuhusu biashara itakayonifaa kati ya hizi

    Habari wanajamii wenzangu. Niko hapa kuwaomba ushauri wa kina kuhusu hizi biashara nilizo zifikiria kuzifanya. 1) kuuza nguo za kike na bithaa nyingine za nguo na vitambaa kutoka asia. 2) kuuza vyombo vya jikoni kutoka nje hasa asia. 3) kuuza matofali na pavements na bidhaa zinginezo kama...
  9. M

    Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Dada nakushauri acha kazi. Hamna jema hapo litakalofuata. Na ukiachika kwa mumeo huyo hato kuchukua. Usiangalie hiyo hela unayopata hapo. Angalia uru wako binafsi na kero unayoipata hapo. Huyo sio mtu ni malaya anataguta papuchi ya bei chee kama ya mke. Akili kichwani. Na kwa vijana mnaopenda...
  10. M

    Mke wangu maji mara moja

    Tatizo wanaume wa siku hizi hamuelewi. Mnapenda wanawake wa kusaidiana sana maisha. Hamjui mwanamke hakuumbwa kutafuta pesa. Matokeo yaje ndo hayo. Anakuwa mpiganaji kwa namna yake. Mtasaidiwa sana miaka hii.
  11. M

    Viwanja na nyumba zinauzwa

    Duh. Sorry mkuu. Nilikosea. Mambo mengi. Ni kimara.
  12. M

    Viwanja na nyumba zinauzwa

    Sio tabata. Ni kimara mkuu sehemu inaitwa msakuzi.
  13. M

    Viwanja na nyumba zinauzwa

    Mnunuzi hazungumzi maneno ya debe tupu. Poleni sana wote mnaopiga kelele za mlango.
Back
Top Bottom