Recent content by MAMMAMIA

  1. MAMMAMIA

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Huoni kama kule Dodoma walimwaga ugali na yeye anamwaga mboga? Pengine (pengine kwa sababu sina hakika), kimya cha miaka minane yote hiyo kilikuwa ni katika juhudi za kuwakingia kifua wale "waliomkata". Baada ya kuona kuwa hawabebeki, hawafadhiliki, ndio hivi karibuni akaanza kutapika. Na kama...
  2. MAMMAMIA

    Msichana Aliyelia Kwa Kumwona Uhuru, aalikwa Statehouse

    Kula "Like" Mkuu. Ovfisi ingekuwa kinyume chake, pia ingesemwa anatmia vibaya pesa za walipa kodi.
  3. MAMMAMIA

    Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    Nape akisema 10 usishike hata moja. Huyu siye aliyekuja na kauli mbiu ya "Kujivua Gamba"? Nani alijivua? Badala yake watu "Wakavaa Ngao" na "kuwaesrow" Watanzania. Langu Jicho.
  4. MAMMAMIA

    Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

    "AFIRISKA" maana yake ondosha ´S´ tu, usome neno lililobakia.
  5. MAMMAMIA

    Kwa ya Ndani ya CCM yaliyoanikwa nje na Kingunge, CCM iko Uchi kwenye Umma na Upinzani

    Mzee Kingunge anajamini kwa sababu ni Mtanganyika (ukipenda ita Mtanzania) na kama angekuwa Mzanzibari, tayari angekwishaundiwa zengwe. Amuulize Mzee Moya.
  6. MAMMAMIA

    Wimbi kubwa la watangaza nia URAIS 2015, ni fashion au?

    Wengi wao ni wasindikizaji tu. Hawa hatimaye watajitoa na kuja kujiunga na makundi ya wagombea wenye mwelekeo ili mwisho wa shughuli yote, mshindi awaone kwa jicho la huruma.
  7. MAMMAMIA

    CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    DK Salim hapiti NG'O. Kwanza yeye mwenyewe alishajiweka pembeni na kukataa kutogombea akiamini kwamba hatapitishwa na wale waliomtimua Mzee Jumbe, wakamweka ndani Maalim Seif, wakaja kuwafukuza akina Othman Massoud, Mansour na hivi karibuni Mzee Moyo. Chezea CCM Zanzibar wewe!
  8. MAMMAMIA

    Hawa walihama vyama na tunawaita makamanda. Nini hasa tafsiri ya Neno USALITI?

    Kwa maelezo yako, anayetoka chama kimoja na kuhamia chama chengine ikiwemo Chadema, si msaliti. Lakini akihama Chadema kwenda chama chengine, hasa ACT, ni msaliti. Nimekuelewa!
  9. MAMMAMIA

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Mi napita njia tu. Ya Ngoswe....!!!
  10. MAMMAMIA

    Waziri Samuel Sitta: Watanzania walioko Oman wanataka kupindua Serikali ya Tanzania

    Siasa za majitaka! Sawa na zile za wahafidhina wa ZNZ wanaowatisha watu kuwa upinzani ukipata madaraka Sultani atarudi.
  11. MAMMAMIA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Muchas gracias. Aqui esta parte del Himno del Real Madrid en espanyol: ¡Hala Madrid!, Hala Madrid!, Hala Madrid! Enemigo en la contienda, cuando pierde da la mano sin envidias ni rencores, como bueno y fiel hermano. Tafsiri yake jwa kikwetu ni: ¡Hala Madrid!, Hala Madrid!, Hala Madrid...
  12. MAMMAMIA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Duh! Huu uzi umetimia kabisa - tangu Ukurasa wa Kwanza hadi Updates zake. Muchas gracias compañero.
  13. MAMMAMIA

    Maswali 10 kuhusu magaidi wa Amboni, Tanga

    Ni [Siasa vs] Udini
  14. MAMMAMIA

    VIDEO: Majigambo ya Vijana wa Tanga (magaidi?) baada ya kuwapora silaha Polisi

    Hili nina wasiwasi nalo. "Kijana" "mwanamume" wa kweli hajifichi uso, hujitokeza hadharani kudai matakwa yake au kutekeleza dhamira zake Hawa kwa wingi ni wahuni wa vijiweni (wanaotumiwa, pengine) kupandikiza mbeguza chuki kwa maslahi ya kisiasa. Tusisahngae kuona video kutoka madhahebu nyengine.
  15. MAMMAMIA

    Wizara ya Madini wamewaleta Wachina waje kujenga Nguzo za zege

    Usishangae kuwa pengine hata tenda haikutangazwa. Tunarudi kule kule kuwa "wenyeji hawana uwezo, hawana mitaji." Sisi kwisha kabsaaa!
Back
Top Bottom